data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,942
- 23,893
Jamani mie naomba tu kufaham..,huyu jangili mnywa ndovu aliahidi miezi 6 yeye pamoja na yule mwenzie anayejiita mlima nyanya kuyaondoa majangili yenzao cjui yaliyochaguliwa kwa rushwa., bado haijatimia?
BTP
...MSIGWA endelea hivyohivyo.. Kukimbilia MAHAKAMANI ni mbinu inayotumiwa na hawa majangili mafisadi ili tu badae waseme "suala lipo mahakaman na lisizungumzwe" na wataendelea ujangili wao..
Kinanana aka Ndovu nenda kimbia mahakaman tufaham ukweli. Hili haliishii hewani..