Ulanziwang'ombe
Senior Member
- Sep 3, 2012
- 134
- 10
Ameandika barua wapi wewe. Hiyo barua aliyokwenda kuismo kwa waandishi wa habri badala ya kumpelekea Msigwa/ Msigwa amechagua njia halali kutumia Udience ya watu ili ieleweke wazi na watu wake. Nilijua wewe ni matatizo matupu huwezi kuchangia vizuri hata ukiona ukweli. nenda kapokee posho.
Wewe na Msigwa akili zenu hazina tofauti!
Unaandikiwa barua na mwanasheria, unawajibu wamachinga!!!