Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

wenye akili zenu mnamambo mengi jamani kama barua iliandikwa na kupelekewa msingwa na aliyeandika bado akaita waandishi wa habari kuongelea juu ya barua hiyo, na fikiri msigwa na yeye ameamuwa kuanza na kujibu kwenye jamii kisha atajibu barua so ikiwa kwa wakwanza ilikuwa sawa hata matumizi wa huyu wapili pia naona kama itakuwa sawa pia.
 
Kwa ccm machinga ni kama panya...kwa ccm mnaowaona binadamu ni Wachina, wakanada, wamarekani, wafanyabiashara wakubwa na wale mliowabatiza jina la Wawekezaji

Usiwadharau wamachinga. Hawa ndiyo walioamka saa kumi na moja asubuhi na kupanga foleni kwa ajili ya kupiga kura na baadaye kuzilinda mpaka zitangazwe. Hao ndiyo waajiri wake!..

Hizi ni akili ya level ya bavicha na Msigwa.

Mnashindwa kuelewa kuwa swala sio kuwadharau wamachinga, ila huwezi kuandikiwa barua na mwanasheria halafu unaenda kuwajibu wamachinga au unaandikiwa barua na wamachinga halafu unaenda kumjibu mwanasheria.

Hizi ni cheap politics. Msigwa anatafuta sympathy.

Wamachinga hao wanahusika nini na UDAKU aliouzusha? Wamachinga wana kero zao, hizo ndio wanataka kusikia zikijadiliwa.

Kesi binafsi ya Msigwa haina uhusiano na biashara za wanachinga.
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?
formal kwenye vyombo vya habari? acheni ujinga. Kinana alipoulizwa alisema kuna njia tatu za kujitetea na mojawapo ni vyombo vya habari. sasa naona kaamua na ya mwisho achukue. anachelewa kabisa maana ushahidi upo wa ujangiri wake
 
Wewe na Msigwa akili zenu hazina tofauti!

Unaandikiwa barua na mwanasheria, unawajibu wamachinga!!!

msigwa hana uwezo wala akili ndio maana wanyonge wamemtuma bungeni...wewe ndio una akili unashinda mitaoni kwa posho uchwara uku ukiaribu macho kutetea majangili...
 
Jamani watz tumelishwa nini?
Mbona hatujielewi? Kweli mtu anakuibia tena wanyama wanaochangia kwenye pato la Tz kwa kiasi kikubwa unamtetea? Jamani nadhani tuwaombe wakenya waje kutusaidia! Tuwalipe watuelimishie watu wetu. Naapa tuna matatizo tena makubwa mno. Wewe book 7 ndo zinakufanya kuwakana ndugu jamaa na marafiki? Mungu tuokoe Watz
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?
Mbona Kikwete huwa anaita wazee wa Dar es salaam kuwaeleza madai ya walimu au madaktari, si bora Msingwa anaingea na Machinga wake! au umesahau mzee ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
This guy (Mh. Msigwa) is PHONEY.

Hajui hata official channel katika mawasiliano. Kinana ametumia Barua kupitia kwa wakili wake, yeye anatumia mdomo kupitia kwa machinga wa Iringa. Hajui kama sheria haina siasa na pia haina spinning achilia mbali maneno ya kitoto kitoto kama anayoyasema.

Msigwa anachofanya ni kurusha mateke kama kuku anayetaka kukata roho.

Msigwa, just relax, hili swala ndiyo linaanza tu hata wiki haijaisha.
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

Kamwambie huyo baba yenu atangulie mahakamani,huko ndio zitamwagwa evidence ambazo hamtakaa msahau maisha!
 
Hizi ni akili ya level ya bavicha na Msigwa.

Mnashindwa kuelewa kuwa swala sio kuwadharau wamachinga, ila huwezi kuandikiwa barua na mwanasheria halafu unaenda kuwajibu wamachinga au unaandikiwa barua na wamachinga halafu unaenda kumjibu mwanasheria.

Hizi ni cheap politics. Msigwa anatafuta sympathy.

Wamachinga hao wanahusika nini na UDAKU aliouzusha? Wamachinga wana kero zao, hizo ndio wanataka kusikia zikijadiliwa.

Kesi binafsi ya Msigwa haina uhusiano na biashara za wanachinga.

Wewe ni mtanzania wa tatu baada ya Majid wa raia mwema, na nchimbi , kutetea ujangili na majangili. Hapa hakuna kesi.
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?
Huyo mwenyewe aliisha sema kazi yake ni kupiga kelele sasa unashangaa nini?
Huyu Msigwa ni janga la taifa, anasema chadema wana mawakili wengi kwa nini wasiende mahakamani kumtetea Lema ile kesi inayomkosesha usingizi?
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa! Huyu mtu ana akili timamu kweli?
Povu la nini? si uende mahakamani we gamba?
 
Hana lolote Kinana.

CHADEMA wamemshika pabaya!

Huyo ni sawa na mfa maji!

Hathubutu kwenda mahakamani!
 
Huu ni unyama sijawahi ona...HAKUNAGA
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    27.3 KB · Views: 111
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

Wewe vipi? Katika ulimwengu wa kisiasa, hakuna "FORMAL WAY" yoyote duniani inayozidi umma uliokupa mamlaka. Kinana kakimbilia magazetini kwa kuwa hana umma wowote nyuma yake. Msigwa; kwanza inadaiwa hizo "tuhuma" alizisemea mbele ya umma; pili, ana mamlaka ya umma hivyo approach yake ni sahihi kabisa; hayo mengine ya kwenye makaratasi yatafuata; usiwe na wasiwasi. Au wewe wamachinga unawaonaje? Mijitu iliyovimbiwa sijui mkoje!
 
This guy (Mh. Msigwa) is PHONEY.

Hajui hata official channel katika mawasiliano. Kinana ametumia Barua kupitia kwa wakili wake, yeye anatumia mdomo kupitia kwa machinga wa Iringa. Hajui kama sheria haina siasa na pia haina spinning achilia mbali maneno ya kitoto kitoto kama anayoyasema.

Msigwa anachofanya ni kurusha mateke kama kuku anayetaka kukata roho.

Msigwa, just relax, hili swala ndiyo linaanza tu hata wiki haijaisha.
Msigwa alitakiwa atulie kwa sasa aende kwa wakati wake iwe usiku au mchana kimya kimya akaombe radhi yaishe.
 
Mbona Kikwete huwa anaita wazee wa Dar es salaam kuwaeleza madai ya walimu au madaktari, si bora Msingwa anaingea na Machinga wake! au umesahau mzee ZeMarcopolo

Sio ukweli. Rais hajawahi kufanya hivyo.

Rais huongea na wananchi kupitia wazee wa Dar es Salaam kuhusu hali ya nchi na matukio mbalimbali muhimu. Hufanya hivyo baada ya kuyashughulikia masuala hayo na jamii huwa na hitaji la kupata neno la moja kwa moja jinsi alivyoyashughulikia.

Kwa mfano madaktari: Rais alikaa na viongozi wa madaktari. Wakafikia makubaliano. Later Rais akaenda kuongea na watanzania kupitia wazee wa Dar es Salaam juu ya kilichotokea na hatua iliyofikiwa katika utatuzi.

Kama Msigwa alikuwa anataka kumuiga Rais basi amekosea mno.

Alichokifanya Msigwa ni sawa na kuvaa kiatu kabla ya soksi, kitu ambacho kwa akili za Msigwa kinawezekana.
 
Back
Top Bottom