Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

Tofauti yao kubwa ni hii:
Msigwa anapigana kulinda tembo wetu lkn Kinana anaongeza kasi kuwafyeka tembo wetu!
By the way siku ingine unapoandika kuhusu mambo ya sheria waone wataalam wakuambie kama Msigwa kakosea au la!

Hamna standard kwenye sheria inayosema mkashifu aende wapi kumjibu mkashifiwa hata kama mkashifu kapewa barua iliyokuwa notarized!

Msigwa anaweza hata kukaa kimywa zipite siku 21 Kinana aende Kisutu;Msigwa anaweza hata akawaita waandishi chumbani kwake kuelezea msimamo wake;Kwa maana hiyo basi Msigwa yupo sahihi Zemarcopolo again umetokota!
 
Zemakopo,lukosi hivi anayechukua meno ya tembo ni nani?
Nyie ni washangiliaji sana wa vitu vya kijingajinga kama hivi je mnanufaika na haya meno yanayoibiwa kila siku?
Kinana kusafirisha meno ya tembo kutoka TZ kwenda nje ya nchi yeye hahusiki? Hajui?Hatakiwi kukamatwa kama mshitakiwa wa kwanza??
 
Wamachinga wa iringa ndo tumempa msigwa kura sio wewe........ Anawajibika kwetu sisi sio wewe..... Anatakiwa atujibu sisi na sio wewe.....hata hivo hongera.....unajitahidi kushiriki thread nyingi...

Na kikubwa zaidi Msigwa yupo sahihi kuwaeleza walio mpeleka Bungeni jinsi ambavyo wakuu wa system wanavyomletea zengwe kwa kusema ukweli!

Kachaguliwa Iringa mjini kaenda kusemea ubabaishaji wa Kinana Iringa mjini!Au ZeMarcopolo alitaka nae Msigwa aende kwa mwanasheria kumjibu Kinana?

Msigwa ni mmoja wa wabunge wachache nitakao wachangia kwenye uchaguzi 2015!
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

Mchungaji Msigwa ana akili timamu kabisa. Vilevile inaonyesha ana weledi wa kutosha katika uwanja wa sheria. Kwani ni hivi; mtu anapokuletea angalizo la kukutaka umuombe radhi au ufute kauli na pia kutoa ilani ya kukufikisha mahakamani baada ya siku 21, ni kwamba mlalamikaji anazo options zote mikononi mwake.

Mchungaji Msigwa naye kama mlalamikiwa anakuwa na options zake zote. Kuijibu {formal or informal way} au Kutomjibu kabisa either way. Na alichofanya Mchungaji Msigwa ni kumjibu Kinana Informal way kwenye mkutano wa machinga. Na pengine utashuhudia akimjibu informal katika maeneo tofauti tofauti katika hicho kipindi cha siku 21.

Kuanzia siku ya 22 Kinana nae atakuwa huru na haki zote kulipeleka shauri lake katika hatua itayofuata ambayo ni kumburuza mlalamikiwa mahakamni.

Hivyo siku 21 sio nyingi wacha tuendelee kuangalia mwisho wa hii sinema kama kweli Kinana ana ujasiri wa kupeleka shauri hili mahakamani.
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

halina akili ili jamaa msigwa

Hizi ni akili ya level ya bavicha na Msigwa.

Mnashindwa kuelewa kuwa swala sio kuwadharau wamachinga, ila huwezi kuandikiwa barua na mwanasheria halafu unaenda kuwajibu wamachinga au unaandikiwa barua na wamachinga halafu unaenda kumjibu mwanasheria.

Hizi ni cheap politics. Msigwa anatafuta sympathy.

Wamachinga hao wanahusika nini na UDAKU aliouzusha? Wamachinga wana kero zao, hizo ndio wanataka kusikia zikijadiliwa.

Kesi binafsi ya Msigwa haina uhusiano na biashara za wanachinga.

mkuu kwani siku 21 zimeisha?vuta subira
 
mbona msigwa hajapelekewa barua officially, ameisikia sikia juu juu kama ulivyo isoma wewe kwenye gazeti, amesema pale kwenye mkutano leo.

kamandamakini kwenye uzi huu ungenyamaza tu uone makamanda wenzio wanavyotiririka.
Angalia prefix ya jina lako linganisha na uluchokiandika.
 
Last edited by a moderator:
Kinana akijaribu kwenda mahakamani, atachafuka zaidi, yatasemwa mengine ambayo yamejificha! Kama kiongozi ukishajiingiza kwenye biashara, uwezekano wa kuingia kwenye kashfa ni rahisi sana!
 
Hiyo barua uliipeleka wewe na masaburi ? Hujui hata unaongea nini, machinga wa hapa wanajua washirika wake waliopo hapa na tunajua umasikini wetu hapa unatokana na tembo walio hapa ktk mbuga kubwa kuliko zote Tanzania iliyopo hapa mkoani kwetu sio kwako !!

Ni yale yale kwani Rostam, au Riz 1 hakutoa siku saba, mbona sasa zimeshafika siku laki saba na mahakamani hajaenda ??

Wewe na Msigwa akili zenu hazina tofauti!

Unaandikiwa barua na mwanasheria, unawajibu wamachinga!!!
 
Kume unadhani Msigwa ana wanasheria! hahahahahahahahaha

Msigwa hapo tegemeo lake Tundu Lissu atamsaidia bila malipo.

Msigwa anashindwa kumlipa dereva atawezaje kuwa na mwanasheria?

kwani Msigwa na yeye anaua tembo ili awe na mahela mengi kama msomali?
 
Hiyo barua uliipeleka wewe na masaburi ? Hujui hata unaongea nini, machinga wa hapa wanajua washirika wake waliopo hapa na tunajua umasikini wetu hapa unatokana na tembo walio hapa ktk mbuga kubwa kuliko zote Tanzania iliyopo hapa mkoani kwetu sio kwako !!

Ni yale yale kwani Rostam, au Riz 1 hakutoa siku saba, mbona sasa zimeshafika siku laki saba na mahakamani hajaenda ??

mkuu Mafuluto huko naweza kukuita ni kutishia kujamba wakati unaharisha,mikwara ya namna hiyo walishachimba wengi lakini walikopotelea ata hakujulikani.
 
Last edited by a moderator:
Tusker larger hawezi akathubutu kwenda makamahani bali atanywea tu na hatakua wa kwanza kufanya hivyo wengi walitishia wakakaa kimya pole sanana kinana RIP MAGAMBA
 
Umeona
tofauti ya
Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na
evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?
Formal way ni kuweka tangazo gazetini au kumpelekea mhusika demand note? Tangazo gazetini lina tofauti gani na mkutano wa hadhara?
 
Hizi ni akili ya level ya bavicha na Msigwa.

Mnashindwa kuelewa kuwa swala sio kuwadharau wamachinga, ila huwezi kuandikiwa barua na mwanasheria halafu unaenda kuwajibu wamachinga au unaandikiwa barua na wamachinga halafu unaenda kumjibu mwanasheria.

Hizi ni cheap politics. Msigwa anatafuta sympathy.

Wamachinga hao wanahusika nini na UDAKU aliouzusha? Wamachinga wana kero zao, hizo ndio wanataka kusikia zikijadiliwa.

Kesi binafsi ya Msigwa haina uhusiano na biashara za wanachinga.

Hivi nyie wa ngese kwanini mnapenda kutetea maovu?Hamuoni kua ujinga wenu huu unazidi kuwa kandamiza wanyonge ambao ndio wengi?Subirini tu 2015 ndo mtakapojua kuwa ni jinsi gani mmechokwa,shame on you ccm.
 
Wewe na Msigwa akili zenu hazina tofauti!

Unaandikiwa barua na mwanasheria, unawajibu wamachinga!!!

Umejuaje kama kaandikiwa barua na wanasheria na kama kaipata? Huoni hapo juu anasema dentist kakimbilia kwenye vyombo vya habari inamaana yeye hakupata barua? Je kwanini asiongee na wananchi wake? Elfu 7 isidhalilishe utu wako kihvyo bro.
 
Hivi nyie wa ngese kwanini mnapenda kutetea maovu?Hamuoni kua ujinga wenu huu unazidi kuwa kandamiza wanyonge ambao ndio wengi?Subirini tu 2015 ndo mtakapojua kuwa ni jinsi gani mmechokwa,shame on you ccm.

Wa ngese! Umenifurahisha bro.
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

Kwani hizo tuhuma alipewa formally?acha u pimbi na wewe..si aendw mahakamani anangoja nini jitu jizi kama nini linakimbilia kushtaki!afanye hivo aone atakavovuliwa suruwali..by the way zile siku 7 alizotoa rizi kwa dr slaa hazijaisha bado
 
Back
Top Bottom