Von zelewisky
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 183
- 50
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!
Huyu mtu ana akili timamu kweli?
hajampa taarifa msigwa, alilipi taarifa gazeti..acha uongo bwa'mdogo