EX COP
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 240
- 87
Mkuu ina maana msigwa anafanya vurugu akitegemea cover ya bure, sasa kama Lisu akisepa inakuwaje hapa?Kume unadhani Msigwa ana wanasheria! hahahahahahahahaha
Msigwa hapo tegemeo lake Tundu Lissu atamsaidia bila malipo.
Msigwa anashindwa kumlipa dereva atawezaje kuwa na mwanasheria?
Tatizo msigwa anadandia gari kwa mbele na hii ni hatarai sana kwa huyu Mchungaji