Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Hapa naona matusi ya kihuni huni kwa familia ya mtu ambaye mamilioni ya Watanzania wanamheshimu. Staili hii ya uchangiaji usio na staha umechangia sana kuvuruga jukwaa hili kwa muda mrefu. Hivi kweli mnategemea mtu makini au wazee wenye heshima zao kusoma comments kama hizi? Mnadhalilisha heshima ya jukwaa hili na moderators wamekuwa wakiacha mijadala kama hii wakifikiri wanabalance mambo ya upinzani na chama tawala.Very sad.
Mkuu MTAZAMO hii ni unprofession way of running the forum. Josephine ni mama na ni mzazi. Kuna namna ya kumlinda. Sio kuacha connents za kipuuzi zinakaa jukwaani hivi. Tukianza kuandika mambo ya Salma au Jacq wa Zitto kabwe thread itaondolewa hata sekunde haipiti. Moderator na wenzake kuelekea uchaguzi mkuu wameanza mapema kuonyesha rangi zake. Imenisikitisha sana
Last edited by a moderator: