Mimi mwenyewe nimejuana nae Fb kabla ya dr w.slaa hajajuana nae.
Mchungaji anayetuhumiwa kuwa naye alihusika katika mpango wa kumuua Dk Slaa amesema walichati na kujuana na Josephine Mushumbusi Facebook
Mytake:
Hii Facebook ni hatari wanawake muwe waangalifu. mtavunja ndoa zenu
CHANZO: Mtanzania
Sijajua kwanini watu wote wanaosema wameokoka nawengine kuwa wchungaji walipitia maisha ya kishetani mwisho wa siku ni watumishi waandamizi wa Mungu, au ndio kusema shetani akizeeka anakuwa malaika?
Na inajulikana jasiri aachi asili yaweza kua kuna kamchongo kasicho kizuri kalikua kanaandaliwa kakabuma! Ila juwa mwanamke anauwezo wa kutumika kukumaliza na tangu awali mwanamke ndio asili au njia ya uovu wote na ndio maana alie tuumba akatutahadharisha kuishi nao kwa akili sana.
HUYU SLAA akiwa Rais atakuwa aina ya Ma- rais aliokuwa anawasema Marehemu baba wa Taifa kuwa wanapata ushauri wa wake zao kufanya maamuzi ya kitaifa.
Alijua kapata kakijana,babu hawez jaman!Josephine damu bado inachemka.
Gazeti la Mtanzania ninalo hapa na wanasema wameandika inbrief, wataweka mahojiano mazima na mchungaji Lyod kuanzia toleo la Jumapili ijayo. Tukiacha ushabiki ukisoma haya mahojiano mchungaji aliombwa urafiki na Josephine kwenye face book na baadaye wakaendelea kuchat kwa muda na baadaye akaitwa nyumbani kwa Dr akawaombee yeye na mkewe bila shaka wapate mtoto. Kilichonitisha zaidi ni kwamba mchungaji Lyod alikaa kwa Dr. Slaa siku 3 akiwaombea na Dr akiondoka kwenda kazini Ufipa Mchungaji anabaki na Josephine anamwombea hadi akapata ujauzito. Dr pima DNA la sivyo Willbrod Jn kanyaboya. Nawajua dada zangu Dr, huchomoki na naamini kila kitu kimeandikishwa kwa Willbrod Jn fake na hapo imekula kwako mkubwa. Subiri tuone. Mlinzi hana hatia. Msikose Mtanzania Jpili ijayo-patamu

Ha ha ha you nailed it.Nakushauri Dr.W.Slaa kama jamaa yangu jipange ukapime DNA ya dogo junior.
siamini kama umeelewa hata mada yenyewe. soma tena.Dr. Slaa ndiye Rais ajaye..mvua inyeshe ama kiangazi huo ndio ukweli!!