Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Mkuu, wewe si ulitaka mleta post aje na verified ID ili uamini na u-like haya matusi?
Sijakuelewa....
Mkuu, wewe si ulitaka mleta post aje na verified ID ili uamini na u-like haya matusi?
Ungekua na ID real hapa ungechukuliwa serious
Hii hapa mkuu....
na GWAJIMA naye ni rafiki wa Familia ya Dr.?
Ni Jambo la ajabu kuwa watu wanatoa comments utadhani ni washamba wa mawasiliano kwa njia ya mtandao.Hivi ni watu wangapi tumekua nao na urafiki mitandaoni bila kujali historical background yao? Kosa la Josephine ni nini?
Unajua vijana wa CCM wakati mwingine mnakua washamba na kujidhalilisha bure tu
Watu wengi tu tuna marafiki Facebook tusiowajua. Na mtu anapokuomba friendship fb wala hatuangalii historia yake. Una just add him or her. So I don't see any mistake to Josephine to do such a thing
Ewe mbeba sumu, umesahau Josefina alikuwa anaingia humu kujibu kama yeye ndiyo Dokta Slaa, akaandika utumbo? ikapelekea hadi Slaa haingii tena humu kwa id yake.
Nasikia huyo kwa kujipenyeza kila pahala ni kama ushuzi wa ngomani, hata makao hajaacha kujipenyeza. Cheza na Gold Digger wewe?
Kumbe Josefina kawaponza wengi, si Khalid Kagenzi pekee.
Babu ndiyo hivyo tena, utawa wa miaka mingi na yale mambo ya Kanisa Katoliki, kuja kuonja K na kung'oka huko akawa anafanya kwa fujo na umri tena, sasa nguvu imepunguwa na Josefina ndiyo anaingia kwenye machuriti ya uanamke.
Kuna kazi hapo si mchezo.
subiri amwokote na mama yako ujue dr kidume.Ewe mbeba sumu, umesahau Josefina alikuwa anaingia humu kujibu kama yeye ndiyo Dokta Slaa, akaandika utumbo? ikapelekea hadi Slaa haingii tena humu kwa id yake.
Nasikia huyo kwa kujipenyeza kila pahala ni kama ushuzi wa ngomani, hata makao hajaacha kujipenyeza. Cheza na Gold Digger wewe?
Ewe mbeba sumu, umesahau Josefina alikuwa anaingia humu kujibu kama yeye ndiyo Dokta Slaa, akaandika utumbo? ikapelekea hadi Slaa haingii tena humu kwa id yake.
Nasikia huyo kwa kujipenyeza kila pahala ni kama ushuzi wa ngomani, hata makao hajaacha kujipenyeza. Cheza na Gold Digger wewe?
Kwa mambo haya Slaa akiwa Rais si nchi itaongozwa na Josefin?
mnatakiwa mtueleze kwa nini Mang'ura aliamua kumpa sumu Kangenzi ili kumwekea Dr Slaa.Kwa mambo haya Slaa akiwa Rais si nchi itaongozwa na Josefin?
Sijakuelewa....
Babu amechanganyikiwa kabisa na mahaba niuwe ya Josefin mpaka analetewa michepuko ndani yuko kimya, Limbwata alilopewa si mchezo
Watu wengi tu tuna marafiki Facebook tusiowajua. Na mtu anapokuomba friendship fb wala hatuangalii historia yake. Una just add him or her. So I don't see any mistake to Josephine to do such a thing