mshauri Mang'ura aende kueleza policcm ilikuwsje awe anawasiliana na Kangenzi zaidi ya hata dr Slaa? nyingine hizo ni ngonjeraNakushauri Dr.W.Slaa kama jamaa yangu jipange ukapime DNA ya dogo junior.
Kwanini usingemripoti Polisi au kumshataki mahakamni ili sheria ichukue mkondo wake? Hakuna mtu yoyote anayependa ujambaziHata Godbless Lema ambaye kwa sasa ni mwanasiasa wa chadema aliwahi kuwa jambazi tena ujambazi wa kutumia sikaha
Gazeti la Mtanzania ninalo hapa na wanasema wameandika inbrief, wataweka mahojiano mazima na mchungaji Lyod kuanzia toleo la Jumapili ijayo. Tukiacha ushabiki ukisoma haya mahojiano mchungaji aliombwa urafiki na Josephine kwenye face book na baadaye wakaendelea kuchat kwa muda na baadaye akaitwa nyumbani kwa Dr akawaombee yeye na mkewe bila shaka wapate mtoto. Kilichonitisha zaidi ni kwamba mchungaji Lyod alikaa kwa Dr. Slaa siku 3 akiwaombea na Dr akiondoka kwenda kazini Ufipa Mchungaji anabaki na Josephine anamwombea hadi akapata ujauzito. Dr pima DNA la sivyo Willbrod Jn kanyaboya. Nawajua dada zangu Dr, huchomoki na naamini kila kitu kimeandikishwa kwa Willbrod Jn fake na hapo imekula kwako mkubwa. Subiri tuone. Mlinzi hana hatia. Msikose Mtanzania Jpili ijayo-patamu
mama mshumbusi naanza kuwa na wasiwasi naye kuwa ni pandikizi LA kishushushu alilopenyezewa Dr slaa kiutaalam sana kwa ujasusi was hali ya juu bila ye kujua. subirini tutaona mwisho wake
Kwa hiyo Josefin alikuwa anawasiliana na JAMBAZI?
Ni Jambo la ajabu kuwa watu wanatoa comments utadhani ni washamba wa mawasiliano kwa njia ya mtandao.Hivi ni watu wangapi tumekua nao na urafiki mitandaoni bila kujali historical background yao? Kosa la Josephine ni nini?
Unajua vijana wa CCM wakati mwingine mnakua washamba na kujidhalilisha bure tu
Hivi seriously moderator wameweka hiyo update hapo juu kwa ufafanuzi zaidi au mwanzisha mada mwenyewe? Mtu anauliza kuhusu wachungaji wa ajabu ajabu ...... kwa kigezo kipi? Hiyo historia ya ujambazi? Kama wewe ni Mkristo unajua alipotokea Paulo? .......Mambo ya imani ya mtu inawahusu nini? Vipi wanaoita waganga wa kienyeji bila kujali uzito wa nyadhifa zao? ......Mmeona njia pekee ya kumjadili Dr Slaa ni kutukana kihuni familia yake? Kama haya yanaruhusiwa basi ikipandishwa uzi wa upande mwingine muwe wavumilivu sindano ipenye.....
Mchungaji anayetuhumiwa kuwa naye alihusika katika mpango wa kumuua Dk Slaa amesema walichati na kujuana na Josephine Mushumbusi Facebook
Mytake:
Hii Facebook ni hatari wanawake muwe waangalifu. mtavunja ndoa zenu
CHANZO: Mtanzania
Pro-Chadema mbona huyu Mchungaji hamtaki kujadili.
Teh teh teh teh
Ni Jambo la ajabu kuwa watu wanatoa comments utadhani ni washamba wa mawasiliano kwa njia ya mtandao.Hivi ni watu wangapi tumekua nao na urafiki mitandaoni bila kujali historical background yao? Kosa la Josephine ni nini?
Unajua vijana wa CCM wakati mwingine mnakua washamba na kujidhalilisha bure tu