Mchungaji: Josephine Mushumbusi tulijuana Facebook

Mchungaji: Josephine Mushumbusi tulijuana Facebook

maswali ambayo mtu anauliza ndiyo yanayompa majibu.Ukiuliza maswali ya juujuu utapata vivyo hivyo.
Sijaona yeyote anayejadili kwa kina hoja hii..kila mtu anapredict tu..mara kamkaribisha nyumbani...mara malaya(jumpink into conclusion)ukiisoma pia habari iliyoripotiwa imelenga tu kuuza gazeti.Nilitegemea mwandishi kumuuliza maswali zaidi...kama:je mnawasiliana mpaka sasa?mmeshakutana mara ngapi?ulifika mara ngapi kwake?Je alikuwa akifika pale kama mchungaji ama.kama rafiki wa fbook.Hakuna kosa.kufahamiana fbook.
Huyu mchungaji alikuwa na mpango kuzindua kitabu chake (amezindua) .Kwa maelezo yake alimuomba awe mgeni rasm katika uzinduzi wa kitabu chake.Haya hatujayapata kwenye habari hii.Mnataka kuniambia kuonana fbook ndo bonge la stori na wala si kilichotokea?
Tuanze kujifunza kudadisi zaidi kuliko kujudge...tusome na kujifunza,kudadisi na ndipo tupate cha kusema.
 
Hapa naona matusi ya kihuni huni kwa familia ya mtu ambaye mamilioni ya Watanzania wanamheshimu. Staili hii ya uchangiaji usio na staha umechangia sana kuvuruga jukwaa hili kwa muda mrefu. Hivi kweli mnategemea mtu makini au wazee wenye heshima zao kusoma comments kama hizi? Mnadhalilisha heshima ya jukwaa hili na moderators wamekuwa wakiacha mijadala kama hii wakifikiri wanabalance mambo ya upinzani na chama tawala.Very sad.

Mkuu imekuuma sana mbona huwa mnamjadili kipuuzi rais wa nchi , na Uzi haufutwi Leo hii Dr slaa unalalamika, ha ha ' whats goes around comes around'
 
MAMA MBOWE,MAMA LIPUMBA,MAMA MBATIA,MAMA CHEYO AU MREMA HAWAINGII KWENYE MITANDAO LAKINI HUYU WA SLAA ANATUPIA MPAKA MADA TUJADILI TENA ZA CHUMBANI!!!yan huyu mama mcharuko!!
 
Sijajua kwanini watu wote wanaosema wameokoka nawengine kuwa wchungaji walipitia maisha ya kishetani mwisho wa siku ni watumishi waandamizi wa Mungu, au ndio kusema shetani akizeeka anakuwa malaika?
Na inajulikana jasiri aachi asili yaweza kua kuna kamchongo kasicho kizuri kalikua kanaandaliwa kakabuma! Ila juwa mwanamke anauwezo wa kutumika kukumaliza na tangu awali mwanamke ndio asili au njia ya uovu wote na ndio maana alie tuumba akatutahadharisha kuishi nao kwa akili sana.

Kama Pawa Mangwana...labda wanataka kutuaminisha kuwa wanapitia mapito ya Mtume Paulo
 
MAMA MBOWE,MAMA LIPUMBA,MAMA MBATIA,MAMA CHEYO AU MREMA HAWAINGII KWENYE MITANDAO LAKINI HUYU WA SLAA ANATUPIA MPAKA MADA TUJADILI TENA ZA CHUMBANI!!!yan huyu mama mcharuko!!
Looh! Wacha uongo ametupia link hapa tushuhudie, khaa Mambo ya kushangaza kabisa, Mzimu wa Zitto umeanza kuwafunua boxer.
 
Naona Vijana wa Lumumba wanatekenyana na kasha wanaangua kicheko kwa kwenda mbele!!! Gawio la pasaka limetoka?...
 
Looh! Wacha uongo ametupia link hapa tushuhudie, khaa Mambo ya kushangaza kabisa, Mzimu wa Zitto umeanza kuwafunua boxer.

Alitupia mada na kusema alilia sana chumbani kusingiziwa kumzuru Slaa,hakukuwa na sababu yayeye kuandika vile.kuna watu wanalipwa ya kumlinda yeye kama mke wa kiongozi mkubwa.
 
Huu naitaga ujinga Wa kifkra.....yaan dokta silaa awe raisi haha ...labda raisi km tunavyowaita diamond...nk...ila Wa nchi akaendekeze ibada zake amrudie. Bwana wake** sisi wanakanisa tunamuhtaji
 
Hahaha hiyo ya bisibisi kupitia puani na kutoka mdomoni duh shortcut Nzuri.
 
ulijuaje, huyu mama ni hatari sana kwa tanzania, ni mpiga dili hatari.
 
Basi itakuwa kakutana NA wengi,bado twita,insta
 
Back
Top Bottom