Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kweli mnampenda Makonda ila hamtaki kukubali, yaani wewe hadi ya kifo umeyafikiria DUH


Vituko vya wavivu, wenye wivu, wa ngada haviishi
 
Apeleke mahakaman ushahid kaz za kanisa zmemshinda akaingia kuchukua wake za watu mzinfu mkubwa huyo...akaona haifai kaingia kwenye siasa....ndomana.mungu hajampa urefu kazadiwa umbea unafk uzandk ana mambo ya kike
 
Kwa kasi yetu ya kesi za uchochezi me nilitegemea leo nickie gwajima apandishwa kizimbani kwa uchochezi au kaitwa central atoe ushahidi au muhusika kumtaka aombe msamaha...ila kwa ukimya huu kuna mtu kashikwa pabayaa..
 

A true christian always never create enemies but always forgive inline with bible teachings. Sasa huyu the said Dr Gwajima hiyo PhD alisomea wapi hiyo ndiye mchunga jibu kwa waumini wake na kula sadaka za waumini wake. Bill Gate na Steve Job ni university dropouts lakini their are richest fellow on earth.
 
Simuungi mkono Gwajima kwa kutoa taarifa hii ambayo ni so damaging kwa Daudi Bashite(a.k.a RC Makonda) kwa kuwa ni kinyume cha Christian ethics,let alone a man who claims to be a servant of God and saved.Hii ni kulipiza kisasi,kitu ambacho hakikubaliki kutokana na maandiko!Ni ajabu kwamba wanaojiita waumini wake walionyesha dalili zote za kuunga mkono uovu aliokuwa anaufanya Gwajima,tena madhabahuni.Very shameful indeed.

Hata hivyo tunao wajibu wa kumshauri Ndugu Bashite on the way forward.Tuhuma hizi ni tuhuma nzito sana,na kwa jinsi details zilivyo,hakuna shaka yeyote kwamba taarifa hizo ni za kweli. What does this sums up to,kama kiongozi, RC Makonda huna authority tena mbele ya wale unaowaongoza na hata mbele jamii.Labda Ni wakati muafaka sasa kwa nia njema kabisa to call it quits,kabla hata JPM hajakutumbua. Utasimamiaje kwa mfano maswala yanayohusiana na uaminifu ikiwa wewe mwenyewe ni mbabaishaji?Jitafakari.
 
Wakubwa poleni sana na kazi,

Napenda niwakumbushe jambo moja lililowahi kutokea hapa Tanzania na kuvuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi. Mchungaji Mwasapile Almaarufu babu wa Samunge aligundua dawa ya miti shamba iliyodhaniwa kuwa inatibu magonjwa mengi ukiwemo UKIMWI.

Watu wengi walikwenda kupata tiba hiyo iliyokuwa ikihusisha unywaji wa dawa kwenye Kikombe. Kimsingi watu wengi waliamini na baadhi yao walikatisha dozi zao za madawa waliyopewa mahospitalini.

Wengi walikufa kutokana na kukatisha dozi. Swala la mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Makonda na kazi anayofanya kwa manufaa ya wananchi itadumu katika mioyo ya wenye kuhitaji ila wenye kubeza kwa ajili ya kuguswa na kazi hizo watavuma kwa muda mfupi na kisha kusahaulika.

Uteuzi ulipofanyika kwamba Makonda awe RC wabaya wake kwanini hawakuyasema haya ya Bashite? Kwanini sasa?

Nawaomba wananchi wote wenye dhamira ya dhati kuweza kumaliza janga hili la madawa ya kulevya tushikamane na Mkuu wetu wa nchi na viongozi wengine wenye kulitakia mema taifa hili. Muda si mrefu huu upepo wa madai yasiyo na vielelezo utazimika kama Mzee wa Kikombe, a.k.a Mwasapile.
 
Ukiambiwa hii vita ni ngumu ningumu kweli sio mchezo uzuri wa Daud yy anamwangalia mkulu tu wengine hana mda nao na hurka ya mkulu ilivyo anaweza kumpa cheo kikubwa ili watu waongee zaidi
 
Kwani akivitoa hivyo vyeti itakuwaje,?au kweli hana,?ndiyo maana
 
Kwahiyo dawa kwa sasa ni kukaa kimya tu? Nimekuelewa mleta huzi ila kumbuka kuna watu walikaa kimya maofisi wanachapakazi lakini walitumbuliwa sababu ya we mwambie atoe uthibitisho ili awe huru kupiga kazi tumemiss yale makeke yake chezea shule!
 
Kimsingi watu hawakatai hivi vita bali wanahoji utaratibu unaotumika. huu ni utaratibu ambao hauleti positive impact. huku kutajataja badala ya kuchunguza na kukamata. katika vita huwezimawambia najaa hapo au njoo hapa!
Suala la cheti si vita dhidi ya mpambanaji kwa sababu kama ni vita kuishinda ni kuonyesha vyeti tu. kosa halisamehewi kwa sababu ya aina ya huduma anayotoa mtu. Mfano mchungaji hawezi kuachwa kwa kosa kwa sababu tu anaondolea watu mapepo!
 
Kwahiyo dawa kwa sasa ni kukaa kimya tu? Nimekuelewa mleta huzi ila kumbuka kuna watu walikaa kimya maofisi wanachapakazi lakini walitumbuliwa sababu ya we mwambie atoe uthibitisho ili awe huru kupiga kazi tumemiss yale makeke yake chezea shule!
Dogo anapiga kimyakimya
 
Umeandika nini? Wakati ulikuwa bado, ukiwavuruga watu kwa kiburi, jeuri, ushetani vinakurudia!
 
I can gather from your post you are trying to defend him!
It is a wise decision to defend him from unfair colloquie. Whichever you prefer to be done against him will be punched instantly. Wengine tunamifano hai ya athari za madawa haya.
 
It is a wise decision to defend him from unfair colloquie. Whichever you prefer to be done against him will be punched instantly. Wengine tunamifano hai ya athari za madawa haya.
Wote tuna mifano, lakini siyo hivyo alivyofanya! Naye ni muovu, vyeti sio vyake, hana tofauti na madawa ya kul;evyo..... education opium....?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…