Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Unapo zungumza kitu, lazima kiwe sahihi na unapo ongelea kitu lazima pawe sehem sahihi na kwa watu sahihi...

Anaweza kua kaongea kitu sahihi lkn kanisani hapakua mahala pake.. kiongozi wa iman fln lazima uwe na busara ujue kuchagua vitu vya ku adress kwa watu in a very wise way..

Makonda ali ropoka..ok ni sawa kama inavyo onekana.. yy hapo kanisani anafanya nn kama sio kuropoka? makonda kawadhalilisha ni kwel sawa.. yy hapo kanisani ana fanya nn kama si kumdhalilisha mwenzie? huyu ni kiongozi wa dini na dini zina hekima juu ya mtu alie kukosea.

Na hao wanao fundishwa falsafa na huyu mchungaji sijui wana hali gani? upuuzi mtupu
 
hivi hiyo pua kama kirungu hauoni kama ni ya devid bashite?
 
Mtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.
Mimi nilidhanai serekali, akiwemo RPC wa Dar ilishasema hawangalii kwenye kutekeleza sheria, mtu haangaliwi yeye ni nani? Nilitegemea Paul Christian Muyenge na Daudi Albert Bashite wameshatafutwa na kuhojiwa juu ya tuhuma hizi! Aidha nilitegemea Mchunganji Gwajima amashaitwa kuisaidia polisi!

Hivi, hizi sheria zetu kuna sehemu inafika, inabidi zifumbiwe macho tu kwa sababu wewe ni fulani, au swahiba?

Sasa kama ni hii ni uongo, …uchochezi si ndiyo huu? ..au wahusika wameshikwa ganzi?
 
Sasa hivi ni hobela hobela,kunahatari yakutokea tatizo zito mbeleni huko.
 
Gwajima amesema anavyo vyeti vya Daudi Bashite vipo ofisini kwake. Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kuwa Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

.
Mtumishi wa Mungu naona umefeli mtihani. Hilo lilikuwa ni jaribu lako. Ulipaswa kulishinda kwa wema si jino kwa jino kama ulivyofanya. Ungetumia njia nzuri kukabiliana na hili, watu wengi wangejifunza kitu na hata kumpokea Yesu. Ushauri wangu msamehe RC Makonda na usiendelee kumwaibisha Kristo. Naomba Makonda, wanadamu wengine na Mungu wakusamehe ili huduma yako iendelee kusimama.
 

Prof Ndalichako na katibu mkuu ofisi ya Rais wamepigwa na ganzi au wakuu wa mikoa wanawajibika kwa nani?so as to initiate steps necessary for disciplinary action usage of stolen certificates!
 
haijalishi mkuu. kikubwa ni mwisho wake alipata marks ngapi au grade ipi?

kama alipasua, poa. lakini kama alipiga miswaki, hii picha ina relevance kubwa sana!
Mkuu ukiisoma thread kwa umakini bila mihemko ya ushabiki au chuki utagundua kua mleta mada ametaka kueleweshwa tu hiyo picha ina maanisha nini?

Ndio maana kila mtu ana comment kwa mtazamo wake kuhusu hiyo picha, Sidhani kama mada inauliza matokeo/result ya huyo aliyelala,

I hope utakua umenielewa sasa.
 
Mkuu naomba urekebishe CV ya Makonda ka DISCO tena Mzumbe University alijaribu kuchukua MSc. HRM wameshamla kichwa chake na akibisha taarifa hii namtengenezea uzi
 
Hivi hatuwezi kupata link ama source yoyote yenye kuwa matokeo kipindi ambacho mh. anamaliza kidato cha nne ili tuione, naamini jamii forum kuna watu wengi na waina mbali mbali, yeyote ambaye analink ama source ya matokeo ya kidato cha nne ya pamba sec aiweke , maana katika hili nakumbuka kale kamsemo maalufu cha mh. Raisi Mstahafu JK... wapili...


ili kumaliza mzizi wa fitna mwenye source ama matokeo hata kwa picha ayapige tuyaone na tumtafute huyo daudi Bashite kama kweli alikuwapo na aliscore zeo.
 
Unaweza kuita waandishi wa habari na kutoa ushahidi wako wote ulionao ila bado wahuska wanaweza wasichukue hatua yoyote maana mpaka sasa kimya..

Mimi nakushauri ukiita waandishi na ukatoa ushahidi wako na bado wakaa kaa kimya,we chukua document zako wape waheshimiwa ili jambo hili wakalisemee huko mjengoni alafu Bunge lije na maazimo tuona kama na Bunge zima liapuuzwa kwa ajili ya mtu mmoja.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Makonda kapigwa kipayu payu hana uwezo hata wa kusimama pole zake kila janga lake zero,mtumia vyeti vya watu, mwizi wa viwanja vya serikali tapeli dah
 
Mkuu naomba urekebishe CV ya Makonda ka DISCO tena Mzumbe University alijaribu kuchukua MSc. HRM wameshamla kichwa chake na akibisha taarifa hii namtengenezea uzi
Jamani daudi ana gundu la kufeli kila mahali na ukifeli mzumbe jinsi watu hufanyiwa assignments za MA basi wewe ni janga, Bashite ana nyota ya Bundi mikosi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…