Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero



Picha inamaanisha the sleeping man was going to pass the exams by means of osmosis,

Hapo usishangae hao wengine wanamtaabikia aliyelala
 
Hizi tuhuma ni za kweli. Hofu yangu ni kwa baba jesca Kama ataweza kuchukua Maamzi ya kumwachisha kazi
 
wewe sikiliza dogo...bashite angepata div3 au div4 tungehisi hivyo unavyowaza wewe...zero maana yake alikuwa hapendi kusoma,,..yaani hakuna anachokijua....mbururah yani...
hajua kitu kuhusu masomo hata kuandika essay hawez...
sasa apo boma reports huwa anafanyaje sijui.....always kila.aza atabaki kuwa kilaza tu.....kweli kuwa original laha
 
Kweli hata za zamani tulishaziona bado mnarusha, naamini mnampenda sana Mh. Makonda. Utafikiri nyie hamkulala mkiwa mnasoma


Hapa kazi tu
Kazi tu pia na vyeti atuonyeshe sindo sera ya, awamu ya tano hewa mwendo wa hewa
 
Gwajima alilalamika kwamba amevunjiwa heshima, kutangazwa hadharani. Gwajima akasema atamshitakia makonda kwa MUNGU. Leo hii amerudia yale ambayo ameita ni makosa kutangazwa hadharani! Huyu ndiye anajiita Mtumishi wa MUNGU! Mtumishi ambaye analipa kisasi, Mtumishi ambaye analeta mipasho! Mtumishi ambaye alipaswa awafundishe waumini wake mafundisho yaliyo mema ikiwa ni Pamoja na kuwafunza waumini wake kusamehe badala yake anawafunza mipasho je tutarajie hawa waumini watakuwa ni wa aina gani?
 

Jamaa linaonekana ni zembe zembe by nature.
 
Katika dunia ya dhambi watu tuliotoka kwenye family maskini na tuliosoma kwa shida, tukiwa bright hatupati support yoyote, hatupati chances na madaraka.

Madaraka wanapata akina fulani - sawa
 
Ukiwa busy kufanya yako, nasi unatupa muda wa kufanya yetu.

Ukitufuatilia, hakuna namna nasi tutakufuatilia.

Ulipotuvua kofia ili kuwaonyesha watu kuwa tuna vipara, ilituuma. Sisi tumejipanga kuwaonesha watu kuwa unabusher, unahisi kuonewa. Tulia, mwaka wetu wote huu.

Kuteuliwa na Kutumbuliwa zote K. Kamatia Msambwandaaaa....
 
Kweli hata za zamani tulishaziona bado mnarusha, naamini mnampenda sana Mh. Makonda. Utafikiri nyie hamkulala mkiwa mnasoma


Hapa kazi tu
Kazi ya kufoji vyeti. Yani hapa dsm tunaongozwa na mtu aliepata fafafaf! Hii ni aibu ya karne asee
 
Mungu akuhurumie gwajima naomba kujua na uthibitidhe tangu baraza LA mitihani kutoa Cheri chenye sufuri.pia wewe unavimiliki umevitoa wapi? Au saivi nacte wanadouble vyeti......kweli wewe ni mtu wa kupu.....
 
Hii inaonyesha watanzania tuna akili ndogo sana,kitu kimoja kila mtu anaazisha thread
Kweli watanzania tuna akili ndogo sana kuliko daudi bashite aliezungusha form four na kupata fafafaf kisha akabadilisha jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…