Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Acha hizo wewe!!Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Mbona pia kuna Mwenyekiti wa chama kimojawapo cha siasa hapa tz naye alipata zero ila kwa sasa ni kama mfalme kwenye chama chakeMbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Mbona pia kuna Mwenyekiti wa chama kimojawapo cha siasa hapa tz naye alipata zero ila kwa sasa ni kama mfalme kwenye chama chake
Nasikia Mzee ndio alikuwa mchonga threadben sitta" au mzee mwenyewe ndo alitatatua?
So what? Awe ana zero au hana so long anafanya kazi zake vizuri haina shida. We don't care about the colour of the cat so long it catches mice
Kwa hiyo wale watumishi wanaondelea kutumbuliwa na ndugu yake bashite ambao hata vyeo hawapandi...ajira zimesitishwa wadogo zetu wako mtaani..watu hawapati stahiki zao kisa uhakiki unazungumziaje juu ya hilo...kwa hiyo Bashite ana haki kuliko wafoji vyeti wengine na wale walioitwa Kilaza na mteuzi wa Bashite....Be serious Mkuu
Una uthibitisho kwamba kagushi vyeti??..Tumia akili kidogo, mkuu wa mkoa ndie msimamiz mkuu wa uhakiki wa watumishi hewa, kama aligushi vyeti anapata wapi ujasiri wa kukagua wengine?
Toeni vyeti acheni kupopomaHuyu mchungaji au kanyaboya
Yupi huyo?[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji28] [emoji28]Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Unaongea na Gwajima au unaongea na simu?
Kwanini?? Who is he by the way???Hawez kufukuzwa
tatizo sio kupata Zero. Shida ni mku kufanya UdanganyifuMbona pia kuna Mwenyekiti wa chama kimojawapo cha siasa hapa tz naye alipata zero ila kwa sasa ni kama mfalme kwenye chama chake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji28] nimecheka sana mkuu umenikum usha mbali sana juu ya kauli hii[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Gwajima huwa ananifurahisha anapojibu mashambulizi.... hivi yule RC wa wapi aliyemkemea wakati ule akamwita mtoto wa dawa!