Kinachochekesha apa ni yale yanayoongelewa ukihusianisha na hii picha daaaa kwi kwi kwi!!!Huwezi kumhukumu mtu kwa kuangalia picha tu,huwezi jua huyo aliyelala pengine siku hiyo alikua hajisikii vizuri,pengine alikua ana umwa na kichwa so,akaamua ajipumzishe kidogo,
Pia upo uwezekano kua huenda labda yeye alianza mapema zaidi ya hao wenzake kujisomea na hapo wenzake walikua wanamalizia jambo fulani tu dogo so, yeye akaamua apumzike,
Ziko sababu nyingi tu za kuitafsiri hiyo picha ila mleta mada umeamua kuitafsiri in a negative way only,
Naona Jamii forums sasa inageuka na kua kawa Instagram,kuna team Makonda na kuna team Wema!!
JF irejeshe hadhi yake,sio kila unachokiokota huko kwenye magroup ya WhatsApp basi unakimbia mbio kuja kuanzisha thd humu, sio kwamba nawapangia watu vitu vya kujadili hapana sina maana hiyo, jf irudi katika ubora wake.
ben sitta" au mzee mwenyewe ndo alitatatua?Malinda hana
MtajeMbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Na hapo ndipo ninapowaogopa Wa-TZ kwa usanii! Uchunguzi pia ufanyike ijulikane hata hicho cheti cha kuzaliliwa kilitolewaje? Na kama tunataka kushinda undanganyifu ktk taifa letu huyu kiongozi na awe mfano wa kukukiri hadharani kwamba alifanya udanganyifu.besti Sasa jiulize hata cheti cha kuzaliwa jamaa kafoji na kupata passport Kwa jina la Makonda
ha ha haHuyo ni makonda mwenyewe...
Uko busy kumsafisha bashite...mapovu yanakutoka mpaka umekaukiwa koo.. But where..... [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kweli hata za zamani tulishaziona bado mnarusha, naamini mnampenda sana Mh. Makonda. Utafikiri nyie hamkulala mkiwa mnasoma
Hapa kazi tu
Yani yote huja baada ya kutajwa kua anauza madawa yakulevya?? Kama unalijua hili mbona hukusema mapema