Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Ukiishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe vita vya mawe
 
Teh teh teh Mkuu taratibu utaua
 
So what? Awe ana zero au hana so long anafanya kazi zake vizuri haina shida. We don't care about the colour of the cat so long it catches mice
 
Ni aibu mtumishi wa Mungu kuacha kuhubiri neno la Mungu badala yke anahubiri Vyeti vya MAKONDA madhabahuni.

Pia ni aibu kwa mtumishi WA Mungu kuwa Mnafiki,, Makonda amewahi kupandishwa madhabahuni na Gwajima ktk Kanisa lake,, je kwann hakumwambia ubaya WA kutumia Vyeti ambavyo si vyake ?

Yaani anangoja hadi Makonda kamtaja kwenye Nganda,, sasa kawa adui yke. Yaani watu wanaenda kanisani kusali eti wanakutana na mahubiri ya CV ya Makonda.
 
Kufoji vyeti na kutumia cheti cha mtu mwingine nayo ni funzo?
Angepambana kurudia fom 4 hadi afaulu hapo hata mimi nimgemwona shujaa
maisha ya njia nyingi hatuwezi sema bado amefoji maana wizara husika haijatoa tamko
 
gwajima weka vyeti hapa online watu tudownload kabla hawajakuja kukupekua.
 
Watumishi tumemuelewa gwajima na tume muunga mkono yakiwa upande wenu kimyaaa kibao kikigeuka mnatalk gwajima mwaga mboga ugali ulimwagwa walikaa kimya waliona ni sahihi vipi kwenye mboga blah blah nying
 
watumishi wengine tena ambao hata hawakufeli darasa la nne na lasaba walifurumushwa, lakini Daudi Bashite hatakiwi kutumbuliwa. hakuna mtu kuja hapa kusema "msema kwlei ni mtu wa mungu" mungu gani huyo anabagua? mungu wa kisukuma?
 
Ni mapema mno kukutupia lawama ndugu na mama yangu Ndalichako kuhusu ukimya wako katika sakata LA ununuzi Wa vyeti linalomkabili Mkuu Wa mkoa.

Nina imani kuwa wewe ni shujaa hivyo utachukuwa hatua ikiwa kweli Naye ni miongoni mwa watu walioshiriki au wanaoshiriki kuiharibu elimu yetu kwa kupita njia zisizo halali. Hivyo nasubiri tamko na hatua utakazozichukuwa dhidi ya tuhuma hizi nzito na hatarishi kwa elimu na taaluma ya nchi yetu
 
kuna mtu anaweza kumgusa mtoto wa mfalme katika nyakati za tumbuatumbua kama hizi? acha bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…