CVs za mh. Paul makonda toka ukuu wa wilaya ya Kinondoni mpaka ukuu wa mkoa wa Dar es salaam ni vyeti tosha kabisa kwa kazi yake! KWA MANENO MENGINE HATUHITAJI VYETI VYOVYOTE VYA MAKONDA BAADA YA KUSHUHUDIA KAZI YAKE, INATOSHA! KAMA MTU KATUONYESHA UWEZO WA KUFANYA MAMBO YALIYOWASHINDA MAPROFESA TUMDAI VYETI VYANINI WAKATI ELIMU YAKE KWA VITENDO HAIPIMIKI KWA VIWANGO VYOTE VYA 'UNIVERSITY'?
Nimeona hyo kamvua nguo zote walalh huyu dogo imekula kwake sujui atagombea nn na vyeti vyake feki ni pingamizi tu atendelea kuteuliwa viti maaluum tu na sizonje wake
Niimbe wimbo gani nimfariji shujaa wangu!
Jinsi ulivyochomoza ghafla! kama mapambazuko ya asubruhi! Lakini siku inaendaje! Mbona jua linakimbilia machweo kwa spidi ya mwanga! Kwa nini usiku unaharakisha!
Natamani kulia lakini machozi yanatoroka! Niimbe wimbo gani nimfariji shujaa wangu!
CVs za mh. Paul makonda toka ukuu wa wilaya ya Kinondoni mpaka ukuu wa mkoa wa Dar es salaam ni vyeti tosha kabisa kwa kazi yake! KWA MANENO MENGINE HATUHITAJI VYETI VYOVYOTE VYA MAKONDA BAADA YA KUSHUHUDIA KAZI YAKE, INATOSHA!