Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Acha upuuzi wako nyie ndio nambari one wa kutetea maovu?hivi leo gii unataka kusahau operation ambayo inasababisha maelfu ya watu kutoajitiwa?kuhakiki vyeti
Mpuuzi ni wewe, sijazuia wala kumtetea makonda.
Pointi yangu ni hiii...gwajima kujiingiza katika hili anajichafua zaidi bora hata awasaidie wengine taatifa hizo wazifanyie kazi kuliko yeye ambaye dunia inajua wanaugomvi na makonda.
Pili katika ukristo kisasi hakiruhusiwi, hili la makonda dunia inajua ni mtumishi batili kwani hana sifa.
Zuia povu
 
So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
Kwahiyo kufoji vyeti inaruhusiwa?
 
Duh mzee nomaaaa
 
Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Hata haya yote yanayotokea ni matokeo yakumuachia Mungu" sasa jamaa anaumbuka hadharani
 
Ndugu,kipindi cha nyuma walikua wanatoa vyeti hadi kwa wale waliokua wanapata zero,uliza kwa wale waliomaliza zamani.
Makonda huyo wa 199x - 20xx hakukuwa na vyeti vya div 0. Hata mie nimemaliza form four kipindi hicho hakukuwa na vyeti vya div 0
 
ww mtumishi wa mungu sahihi kabisa lako liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…