Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Haya majibu anayo makonda
 
Kwa nini ujiulize maswali mengi kwani Pamba Sekondari Somalia? Pili kama sikosei na ninaweza kusahihishwa zamani ilikuwa ukipata div ZERO unapata leaving certificate lakini Academic ndio hupati.
 
20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
Kuna usemi kwamba kama huna watoto basi roho yako inakuwa mmbaya sanna.
Discuss.15%(marks)
 
Picha ya kihistoria hii maana hawa wawili wote wako kikaangoni.Huyo ni askofu Mokiwa wa Anglican ambaye alitumbuliwa na Askofu mkuu na huyo aliyepiga magoti ni RC Paul Makonda anayesubiri muujiza wa JPM.Hiyo ilikuwa sikukuu ya Pasaka last year,2016 ktk Kanisa kuu la St Alban, posta mpya!
 
Mkuu endelea jinsi fitina ilivyotumika hadi kufika hapo alipo. Ujumbe wa bunge maalum la katiba, kampeni 2015, ukuu wa wilaya na sasa ukuu wa mkoa.
Hii imekaa sawa.
mkuu sina mil 5
 
Kamanda, siku zote usiwe na kiburi na majivuno. Watu watakupenda sana na utawahukumu watu bila wao kulalamika. Ukiwa jeuri na ufedhuli hatabkama mtu anamakosa utaonekana ynawanyanyasa watu na wakipata nafasi jiandae,
Noted mkuu. Nakuelewa sana
 
Kwa nini ujiulize maswali mengi kwani Pamba Sekondari Somalia? Pili kama sikosei na ninaweza kusahihishwa zamani ilikuwa ukipata div ZERO unapata leaving certificate lakini Academic ndio hupati.
sio zaman hata sasa leaving unapata kama kawaida maana huwa inatoka kabla hata yakufnya mtihan
 
Hatujakataa yeye kutokukata tamaa tunampongeza Sana.....tatizo n yeye kujiona perfect wakat alipata sifuri.....
Halafu hip nafasi Kama na wewe ungekua na GoodFathers ungepewa tu...sema tu ndo ivo maskini wa mungu huna uspooon mjini
 
Nasubiri nione mwisho wa hii movie stelling n nan na kubwa LA maadui n nan??????
 
Reactions: Qj_
Uuhakiki was vyeti ulikuwa unawahusu kina nan??? Kuna watu hawana kazi kwa sababu ya uhakiki wa vyeti...yeye ni nan had I aachwe?
 
Hili la Makonda limekwisha...nasubiri sasa ile PhD feki; Dr gani hawezi kuongea hata sentensi moja ya kimombo fasaha hadi anazidiwa na watoto wa Grade 1 pale St.Mary's?
 
WAUZA UNGA MAPAPA WAKO VITANI DHIDI YA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WASAIDIZI WAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…