Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kitu kimoja sijaelewa Mh Magu siamefanya uhakiki wa vyeti feki inakuwaje tena madudu kama haya yanatokea inamaana sasa kumbe uhakiki huo "FEKI"

Au ndo tuanapigwa changa la macho na serikali yetu
uhakiki unamacho, sio bure!
 
ngwajima huwa simuamini sijui kwanini . kabla ya yote aanze na stori ya Mbasha hapo nitamwelewa
Huyu mchungaji Mimi huwa simuamini, skendo ya kuiba mke wa mtu, skendo ya madawa , skendo ya kuvuta bangi vyote vyake halafu Leo anajifanya kumponda
 
Huenda ni results slip ndio kaiita cheti.
 
safi sana gwajima!...sio tunakua na viongozi waoga waoga.nitaamia kanisani kwako baba mtumishi
 
mkuu s hata mi nilijisemea hivyo ula kabla sijaropoka popote nikauliza wakasema vyeti vilikuwa wanatoa zamani
 
Ni suala tu la kuweka matamshi vzr, hapa kikubwa ni matokeo ya mtu na jina husika...

Gwajima ana matokeo ya Daudi Albert Bushite (zero) kama ulivyosema ukienda NACTE yapo na yeye anayo... Pia ana matokeo ya kijana Mhaya Paul M (dvsn 3).

Kama hamna cheti cha zero, tukumbuke kuwa Kuna matokeo (results) ya mtu kupata zero. Tuvumilie tu maana hakuna namna.
 
ndalichako kazi kwako umeshatafuniwa jipu hili lipo usoni Kama tochi
 
Huyu mchungaji Mimi huwa simuamini, skendo ya kuiba mke wa mtu, skendo ya madawa , skendo ya kuvuta bangi vyote vyake halafu Leo anajifanya kumponda
sisi tunamuamini!..safi sana gwajima
 
Kila MTU na abebe msalaba wake, km yote hayo nikweli yeye gwajima alikuwa wapi kuweka pingamazi! Namshaur gwajima aachane nasiasa, afanye kaz take aliyopewa na MUNGU
 
Duhhh! jamaa ana experience ya kufeli!
 
Basi ili makonda amzibe mdomo kabisa ajitokeze atolee ufafanuzi!
Makonda huyu anayependa publicity angenyamaza kimya mpaka sasa hivi!
Wacha gwajima aendelee kutumegea ubuyu huo
 
akikujibu naomba unitag
 
Duu wewe kweli chamadola. Serikali haijui chakufanya, kiiila siku madongo yanazidi. Ndalichako mwamuru yule jamaa wa necta aprint cheti ya makonda hata kwa shule kama feza boys haina tabu
 
Huyu mchungaji Mimi huwa simuamini, skendo ya kuiba mke wa mtu, skendo ya madawa , skendo ya kuvuta bangi vyote vyake halafu Leo anajifanya kumponda
Lakini swala la vyeti Gwajima hakulianzisha.....yeye kagongea msumari tu.
 
kipengele flani umeandika alifeli la 7 na kukosa nafasi shule za serikali lkn kipengele kinachofuata umeandika akajiunga na shule ya sekondari pamba,SASA alijiunga pale kama pc ama vp? maana pamba ya mwanza ni gvt school siyo pvt school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…