Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Seems like U akubali alinunua cheti na Kutumia Jina LA Mtu. Swali ni Jee. Why change Names. Kwa Nn asomee jina LA Mwingine?
 

CV nzuri ya Daudi Bashite
 
Hoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic
Viongozi wa Dini hawatakiwi kuwa wanafiki,unafiki wao ndio umetufikisha kuficha ficha mambo ambayo hayastahili kufichwa hata kidogo,hebu tazama wale wanafiki wa bakwata waislamu wenzangu wanavyomkufuru M/Mungu kwa kumtetea mtu mchafu kisa kimsikiti cha GSM, Gwajima Msafi yeye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.....Go Dr. G go Baba maana watumishi tulinyanyasika sana kwa uhakiki usiokwisha,sasa namtaka mheshimiwa atoke hadharani atangaze ule uhakiki wa miezi mi 2 umekwisha tayari
 
ivi skuizi makanisani tunaenda kuabudu au kupewa habari za kimbea...! yani skuizi kwenye makanisa story tofauti na hitaji la mahala husika na ndo mana nyimbo za dini tunaenda kusikilizia bar
 
Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Issue sio kapata zero tu, bali vyeti halali vya makonda viko wapi?
Na Je mama Ndalichako na waziri Kairuki wanalijua hili, mbona wapo mkimya
 
Si unaona jamaa anashinda kwa viongozi wa dini anaombewa?
 
Ili upate uongozi Tanzania unatakiwa ujue kusoma na kuandika tu,Msimchoshe Makonda,elimu yake inamtosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…