Hii kashfa ni mbaya kwani inahusisha vyombo vya dola.Mimi ninaamini kabla Rais hajateu mtu vyombo vya dola hukagua usafi wa mtu iwapo mtu uraia wake unamatatizo,au elimu au kashfa yoyote mtaani(ujambazi,wizi ,ulevi nk)vyombo vya dola vinawajibu wa kumshauri Rais sasa kwa hili la mtu kuungaunga vyeti vyombo vya dola lazima viingie lawamani na waliohusika wachukuliwe hatua za kinidhamu ili lisijetokea baya zaidi.Haki kwa wote.