Kwa Tanzania hairuhusiwi lakini pia haipigwi vita. Wengi katika safu ya uongozi wamenunua vyeti au wamenunua ufaulu. Na hao ndio wengi walioishia kwenye uongozi wa nchi hii. Ndio sababu kila kitu ni hewa , roho mbaya na unafiki ndio vimetawala bongo land kwa miongo mingi.Kwahiyo kufoji vyeti inaruhusiwa?
Ana maana ana matokeo ya mhusika.
Wauza sembe mko busy mnakingiana vifuaResult slip
Ina maana makonda unamfananisha na yesu?Sasa naanza kujifunza kwamba kwanni Yesu aliuawa japo alitenda mambo mengi mazuri!!
Umebugi. Ile ni kolomije ya misungwi sio sumve kwimba understoodMiaka mingi huko Sumve wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kulikuwa na mzungu aliyeitwa Jonathan,nyumbani kwa Jonathan ndio ilikuwa sehemu pekee iliyokuwa na bomba la kupampu (kama ya Hesawa) basi kila asubuhi majirani wa Jonathan walikuwa wakifika nyumbani kwake kwa minajiri ya kuchota maji lkn walikuwa wakipata wakati mgumu sana kumuamsha asubuhi maana majirani wale walikuwa wakishindwa kabisa kutamka jina Jonathan (ni kawaida ya wasukuma kushindwa kutamka baadhi ya majina , mfano Abdallah huwa anaitwa Bundallah au Magdalena anaitwa Madelena) .Kuondoa usumbufu huo kila walijaribu kuita jina lake kwa shida,Jonathan aliwaambia "call me J" baada ya hali ile kujirudia kwa muda wenyeji wale walijiridhisha kabsa kwamba jina lingine la Jonathan ni call me J=Kolomije ( likoromije ghete' kwa maana hili linaitwa Likoromije),hapo ndipo mwanzo wa jina hiliKolomije,miaka ikapita baadae akazaliwa Gwajima na miaka ikapita zaidi akazaliwa Daudi na kwa taarifa tu kila ndege inayopita kwenye anga la Kolomije huwa inaitwa Gwajima.
Karibuni kwa maswali
Kweli kama ni ivo kwl n bashite kwann ajchanganye ataje na majina ya walimu. I think thee is something behind the curtainSina uhakika sana ila tetesi zinasema aliwataja wanafunz wanaotumia bhangi parade lkn akajichanganya akaweka na majina ya walim ,inasemekana lkn
Iyo ni kumekucha uwanja wa dar dabi hapo chacha muvi imeenda patamuMchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.
Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.
Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
Kameseanasema ana namba hadi ya mama Kabese alipokua anakaa Daud