Atakitoaje kama mtu ukiwa na four ya mwisho 35 huwa hawapewi cheti unataka akitoe wapi ili awaonyeshe?Sasa mkuu kinacho mshinda huyo bashite kukitoa hadharani hicho cheti kama kweli anacho ni nini?? Ili huu mjadala huu uishe ni nini??? Kwani hapo ndipo watu wana kuwa na wasiwasi!! Wewe mtu akutuhumu kitu tena cheti ambacho ushahidi uko kwenye maandishi unakuwa mgumu kukitoa hadharani!! Je ungeambiwa wewe ni shoga si ndio mziki mnene ku dhibitisha?!! Hapa bwana kuna shidaaaaaa
Hujamuelewa mtumishi..aliyemaliza form four hata kama ana zero...anapewa cheti..living certificate..so kuna ushahidi wa cheti cha kuhitimu..pia shule husika ukienda kuna record za wanafunzi woteGwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero

Hatuna shida na zero yake ila uhakiki wa vyeti utakuwa hauna maana kama viongozi wenye vyeti feki wanaachwa na vyeti hivyo.tunampenda huyu mwenye zero, anayewajali watanzania..Makonda tuko na wewe!
Miaka ya nyuma hakukuwa na wilaya ya misungwi yote ilikuwa ni KWIMBA, Baadaye ndio wakaigawa kwimba na kupatikana misungwi.mkuu koromije haipo wilaya ya Kwimba ipo Misungwi
Hatuna shida na zero yake ila uhakiki wa vyeti utakuwa hauna maana kama viongozi wenye vyeti feki wanaachwa na vyeti hivyo.
Kwa kuwa ukuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa anaweza kuendelea nao na cheti chake halisi cha darasa la 7(maana form 4 zero) na jina lake halisi badala ya kudanganya.
Sasa si usubiri siku ya siku ifike ukweli utajulikana tuGwajima kasema Ana cheti cha Makonda cha Form four Chenye zero. Sikiliza tena hiyo audio