Mtoto mtukutu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 348
- 109
Hapa vyeti tu
we ni mmoja wapo uanyetumia jina la mtu mwingine sio burenenda mahakamani humu hatuwezi kukusaidia wala hatuwezi kudhibitisha hzo propaganda zako!!!
Vyeti vya mtu vinakusaidia nn ww kama sio udaku tu!!
Yaani wewe ulijiunga na JF JUZI kwa ajili ya hili ambalo ndo unatukumbusha. Taifa lina mambo ya maana kuliko hilo. La vyeti kamuulize muhusika WEWE mwenyewe.Jaman ndugu zangu wa jamii forums naona kama mada ya mchanga wa dhahabu imekuja kututoa katika agenda ya kitaifa ya vyeti feki vya daudi bashite naombeni hii agenda tusiache ipite hadi kieleweke either bashite atoe vyeti au awajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi kwa sababu nobody is above the law inauma sana mtaani kwetu kuna mwalimu ameitumikia serikali kwa mda mrefu sana lakin kafukuzwa tena bila stahiki zake leo jambazi wa kutumia silaha yupo ofisini tena anatamba na maposti yake ya ig
Moja kati ya ajenda ya serikali hii ni kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa pili ni ukaguzi wa vyetu na kuleta elimu yenye tija na dunia nzima maendeleo yanaletwa na elimu hatuwezi kuwa na maendeleo bila kuwa na viongozi waadilifu na wenye elimu wenye kuweza kupanga mikakat mizur ya elimu swala la vyeti ni moja ya jambo la maendeleo huoni ukilaza wa bashite unavyoicost dar kuwa na plan nyingi but utekelezaji bashite angalia kilaza anavyominya uhuru wa habariYaani wewe ulijiunga na JF JUZI kwa ajili ya hili ambalo ndo unatukumbusha. Taifa lina mambo ya maana kuliko hilo. La vyeti kamuulize muhusika WEWE mwenyewe.
Hueleweki. Hata hivyo karibu jukwaani.Moja kati ya ajenda ya serikali hii ni kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa pili ni ukaguzi wa vyetu na kuleta elimu yenye tija na dunia nzima maendeleo yanaletwa na elimu hatuwezi kuwa na maendeleo bila kuwa na viongozi waadilifu na wenye elimu wenye kuweza kupanga mikakat mizur ya elimu swala la vyeti ni moja ya jambo la maendeleo huoni ukilaza wa bashite unavyoicost dar kuwa na plan nyingi but utekelezaji bashite angalia kilaza anavyominya uhuru wa habari
Ni afadhali kuwa mlemavu wa miguu, macho, masikio, tasa, kuliko kuwa na ulemavu wa mtindio wa ubongo.Nawaonea huluma sana mlieko Dar...
Mtu kipindi unapiga shule umetoka na one yako nzr tu, umepata two inayong'aa , three yenye hadhi kabsa.... Ila cha ajabu watu mliofaulu vizr mnaongozwa na zero zero zero....
Hivi wana Dar es salaam mnajisikiaje kwa hali hii hasa kwa wale mlio tusua masomo vzr!?!?
Hivi watoto walieko mashuleni huko si wamepoteza molari ya kusoma kwa juhudi kwa sababu hata bashite alitoka na zero ila mambo yake yako vzr!?!?
Mimi namshukulu mungu siko Dar ila nawahulumia mlieko Dar huku mlipiga shule mkafaulu vizr huku wengi wenu wa 2015, 2014, 2016 + 2017 mkiwa hamna AJIRA huku BASHITE akiwa anatanua na sizonje!!!
Wana Dar mnaishije na baba yenu BASHITE!?!?!?
Nb. Mods naomba mnilinde koz Dar ina ngazi nyingi za uongozi hivyo basi sijamtaja MTU!!
Bashite ni naniNawaonea huluma sana mlieko Dar...

Wanamjua wana DarBashite ni nani
HatumjuiWanamjua wana Dar
Wewe na nani!?Hatumjui