Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Nawaonea huluma sana mlieko Dar...

Mtu kipindi unapiga shule umetoka na one yako nzr tu, umepata two inayong'aa , three yenye hadhi kabsa.... Ila cha ajabu watu mliofaulu vizr mnaongozwa na zero zero zero....

Hivi wana Dar es salaam mnajisikiaje kwa hali hii hasa kwa wale mlio tusua masomo vzr!?!?

Hivi watoto walieko mashuleni huko si wamepoteza molari ya kusoma kwa juhudi kwa sababu hata bashite alitoka na zero ila mambo yake yako vzr!?!?

Mimi namshukulu mungu siko Dar ila nawahulumia mlieko Dar huku mlipiga shule mkafaulu vizr huku wengi wenu wa 2015, 2014, huruma2016 + 2017 mkiwa hamna AJIRA huku BASHITE akiwa anatanua na sizonje!!!

Wana Dar mnaishije na baba yenu BASHITE!?!?!?

Nb. Mods naomba mnilinde koz Dar ina ngazi nyingi za uongozi hivyo basi sijamtaja MTU!!

Morari , sio molari . Nawahurumia . Sio nawahulumia .mlioko . Sio mlieko . Huruma . Sio huluma . Sijui Nani kasoma
 
Nawaonea huluma sana mlieko Dar...
mt
Mtu kipindi unapiga shule umetoka na one yako nzr tu, umepata two inayong'aa , three yenye hadhi kabsa.... Ila cha ajabu watu mliofaulu vizr mnaongozwa na zero zero zero....

Hivi wana Dar es salaam mnajisikiaje kwa hali hii hasa kwa wale mlio tusua masomo vzr!?!?

Hivi watoto walieko mashuleni huko si wamepoteza molari ya kusoma kwa juhudi kwa sababu hata bashite alitoka na zero ila mambo yake yako vzr!?!?

Mimi namshukulu mungu siko Dar ila nawahulumia mlieko Dar huku mlipiga shule mkafaulu vizr huku wengi wenu wa 2015, 2014, 2016 + 2017 mkiwa hamna AJIRA huku BASHITE akiwa anatanua na sizonje!!!

Wana Dar mnaishije na baba yenu BASHITE!?!?!?

Nb. Mods naomba mnilinde koz Dar ina ngazi nyingi za uongozi hivyo basi sijamtaja MTU!!
una dalili zote za kuonesha kuwa una mambo ya kike.Dar watu walivyo bize nani atahangaika na cheti cha mtu
 
MAKONDA.jpg
 
Huyu bwana kisheria hayuko salama ila kidikteta ndio yuko salama.

Kwanini nasema hivi?

Tuhuma zake kisheria ni jinai na jinai huwa haina ku-expire hivyo kisheria huyu bwana hayuko salama kabisa bali anachofanya kwa sasa ni ku-buy time tu kabla ya kuja kusimama kizimbani kujibu mashitaka yake wakati ukifika.

Kidikteta yuko salama kwasabu udikteta haujali utawala wa sheria na wala hausikilizi matakwa ya wananchi lakini udikteta una kikomo wakati utawala wa sheria hauna kikomo bali utaendelea tu kuwepo siku zote.

Ni bora Bashite akubali kukabiliana na mkono wa sheria sasa ili hata kama atakutwa na hatia basi anaweza kupewa msamaha baada ya kuhukumiwa na hata jela asikae ila akiendelea kupiga chenga ni hatari zaidi kwake maana hakuna anaejua kwa uhakika ni nani atakuwa mkulu kesho na kama anaweza kumpa msamaha.

Tusubiri ingawa shariti la kumrithi mkulu wa sasa linaweza kuwa ni kumlinda bwana Bashite hivyo wenye nia hiyo mjiepushe kumnonyooshe kidole huyo dogo ili mjiweke katika mazingira mazuri ya majina yenu kupenya wakati ukifika.

Ni hisia zangu kuwa wale watakaokuwa na mahusiano mazuri na bwana Bashite basi ndio watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupenya katika mchujo kuliko wale watakaonekana kuwa na uhusiano wa mashaka na kijana huyu.

Ni mtazamo tu.
 
bashite angejisalimisha tu gerezani. aanze kutumikia kifingo chake
 
Maisha Magumu sie tuko na Bashite

Watumishi wa nchi hii wanakatwa asilimia 15 kinyume na mkataba sisi tuko na Bashite

Mfumuko wa Bei uko juu sisi tuko na Bashite

Sukari bei juu sisi tuko na Bashite

Report ya CAG imetoka sisi tuko na Bashite.

SISI MITANZANIA NANI KATUROGA? HARAFU MNATAKA CCM ITOKE MADARAKANI? UPUUZI
 
0bf96f7e300fa667dce9020f83fd7865.jpg
 
Maisha Magumu sie tuko na Bashite

Watumishi wa nchi hii wanakatwa asilimia 15 kinyume na mkataba sisi tuko na Bashite

Mfumuko wa Bei uko juu sisi tuko na Bashite

Sukari bei juu sisi tuko na Bashite

Report ya CAG imetoka sisi tuko na Bashite.

SISI MITANZANIA NANI KATUROGA? HARAFU MNATAKA CCM ITOKE MADARAKANI? UPUUZI
Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na ccm.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Maisha Magumu sie tuko na Bashite

Watumishi wa nchi hii wanakatwa asilimia 15 kinyume na mkataba sisi tuko na Bashite

Mfumuko wa Bei uko juu sisi tuko na Bashite

Sukari bei juu sisi tuko na Bashite

Report ya CAG imetoka sisi tuko na Bashite.

SISI MITANZANIA NANI KATUROGA? HARAFU MNATAKA CCM ITOKE MADARAKANI? UPUUZI
Hao watumishi si wana vyama vyao?! Kazi ya hivyo vyama ni nini?! Vipo kimya kabisa..halafu Usitupangie
 
Huko ccm hakuna hata kiongoZi mmoja anae mkubali bashite..yani kwa mfano baba ake akifa sasa hivi afanye ahame nchi..mana jela haiepukiki kwake.
 
KWANI YULE RAIS WA TLS KAZI YAKE NI NINI?

UPINZANI KAZI YAO NI NINI?

BENSAA NANE NA BASHITE NANI NI MUHIMU?

AU WEWE NI KAMANDA WA KUZUNGUSHA MIKONO TU? HIHIIII
 
CHADEMA hovyo sana wameshindwa mpaka kuchagua wagombea wa ubunge EALA kwa uzuzi wao wa kutokusoma kanuni wanahangaika na mambo ya kijinga jinga
 
NA ASIP
Huko ccm hakuna hata kiongoZi mmoja anae mkubali bashite..yani kwa mfano baba ake akifa sasa hivi afanye ahame nchi..mana jela haiepukiki kwake.

NA ASIPOKUFA WATAHAMA WAO AU DUNIA ITAACHA KUZUNGUKA?
 
KWANI YULE RAIS WA TLS KAZI YAKE NI NINI?

UPINZANI KAZI YAO NI NINI?

BENSAA NANE NA BASHITE NANI NI MUHIMU?

AU WEWE NI KAMANDA WA KUZUNGUSHA MIKONO TU? HIHIIII
Chadema ni chama cha wafanyakazi?!!! Bashite mkubwa wewe kazi kuiba vyeti tu
 
Huyu bwana kisheria hayuko salama ila kidikteta ndio yuko salama.

Kwanini nasema hivi?

Tuhuma zake kisheria ni jinai na jinai huwa haina ku-expire hivyo kisheria huyu bwana hayuko salama kabisa bali anachofanya kwa sasa ni ku-buy time tu kabla ya kuja kusimama kizimbani kujibu mashitaka yake wakati ukifika.

Kidikteta yuko salama kwasabu udikteta haujali utawala wa sheria na wala hausikilizi matakwa ya wananchi lakini udikteta una kikomo wakati utawala wa sheria hauna kikomo bali utaendelea tu kuwepo siku zote.

Ni bora Bashite akubali kukabiliana na mkono wa sheria sasa ili hata kama atakutwa na hatia basi anaweza kupewa msamaha baada ya kuhukumiwa na hata jela asikae ila akiendelea kupiga chenga ni hatari zaidi kwake maana hakuna anaejua kwa uhakika ni nani atakuwa mkulu kesho na kama anaweza kumpa msamaha.

Tusubiri ingawa shariti la kumrithi mkulu wa sasa linaweza kuwa ni kumlinda bwana Bashite hivyo wenye nia hiyo mjiepushe kumnonyooshe kidole huyo dogo ili mjiweke katika mazingira mazuri ya majina yenu kupenya wakati ukifika.

Ni hisia zangu kuwa wale watakaokuwa na mahusiano mazuri na bwana Bashite basi ndio watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupenya katika mchujo kuliko wale watakaonekana kuwa na uhusiano wa mashaka na kijana huyu.

Ni mtazamo tu.
Huna kazi Ya kufanya zaidi kumfuatilia mwanaume mwenziyo au wewe ke tafuta kazi ujingezee kipato
 
Back
Top Bottom