Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

KATIKA MAISHA NAAMINI MIMI NI NANI INAPOTOKEA MJINGA AKATUKANA NAHESHIMU SANA SABAU NDO UWEZO WAKE ULIPOFIKIA PIA NDO HISIA ZAKE KAWASILISHA
NA NDO MANA NATUMIA JINA LANGU HALISI SABAU NAJIAMINI ILA MTU USIYEJIAMINIKM WEW ENI HAKI KUJIKINGA
 
HABARI WANA JF
Naamini kila zama na kitabu chake na pia kila zama na nabii wake
haya yanayo endelea kuhusu Makonda yatapita na yata sahaurika na mbwe mbwe zake zote zitasahaulika ila
naomba tujiandae kisaikolojia itakaporudi suala la mihadarati na mbowe nalo litadumu kama hivi sijui ila msema kweli ni muda tu nao utafika
asante
napenda kutukanwa na watu wanaokuwa na mtazamo tofauti na mimi
Mmekosa hoja, kwa hii aibu aliyoipata Bashite na timu yake haitafutika milele na milele..
Nawaona jinsi mlivyo na hasira kwenye makoo yenu!
Ni bora mtapike hiyo nyongo..!!
Tuna liandaa la Mbowe
muda wowote tuna linukisha
Sisi tutakuja na ushahidi 100%,
chama gani kinaongozwa na ZERO!!
Hii ni aibu
 
Wewe panya ulioko bambabay mpakani uko utaanda kitu gani

Huyo magufuli mwenyewe wiki haikat bila kumpigia simu mbowe

Pambana na hali yako kwanza usijeaibika km makonda
MNAPENDA KICK SANA HAHAHAHA MAGU HAWEZI KUIKOIMBA KWA MBOWE AU GWAJIMA MPAKA DUNIA INAISHA
 
HABARI WANA JF
Naamini kila zama na kitabu chake na pia kila zama na nabii wake
haya yanayo endelea kuhusu Makonda yatapita na yata sahaurika na mbwe mbwe zake zote zitasahaulika ila
naomba tujiandae kisaikolojia itakaporudi suala la mihadarati na mbowe nalo litadumu kama hivi sijui ila msema kweli ni muda tu nao utafika
asante
napenda kutukanwa na watu wanaokuwa na mtazamo tofauti na mimi
mlianza na madawa issue ime pelekea kiongozi kukimbilia south sasa sina hakika likianza ilo nitapelekea nani mwengine kukimbia,maana mna beep mkipigiwa simu mbatupa na kukimbia badala ya kupikea
 
JE WAJUA KUWA FREEMAN AIKAEL MBOWE NDIE FIRIMON GASTURA WA IHUNGO SEC??
-----------------------------------------------------------------

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni!

JINA LA KUZALIWA:- Freeman Aikael Mbowe.

ELIMU:

SHULE YA MSINGI:- Lambo-Moshi (Jina-Freeman Aikael Mbowe).

SHULE YA SEKONDARI (I-IV) :- Kibaha Sec-Pwani (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
- Inasemekana alihitimu Kidato cha Nne Mwaka 1979, akapata daraja la Nne (Failure).

SEKONDARI A'LEVEL:- Ihungo Sec-Bukoba.
JINA:- Firimon Gastura.
-Zingatia kwamba, Firimon Gastura alionekana akisoma Milambo Boys Kidato I-IV, wakati huo Freeman Aikael Mbowe akiwa Kibaha Sec.

N:B, Inasemekana kuwa Firimon Gastura hakumaliza masomo yake pale Ihungo kutokana na sababu mbalimbali (hazitaelezwa leo) lkn jambo kubwa ni kwamba baada ya muda Firimon Gastura alionekana Benk Kuu ya Tanzania (BOT) akiwa Bank Officer (mwajiliwa) wakati huo Gavana akiwa Mzee Mtei.

ZINGATIO:
Tunaendelea kujiridhisha na taarifa hizi kwa kutambua uhusiano kati ya Freeman Mbowe wa Kibaha Sec na Firimon Gastura wa Milambo Boys. Pia tunaendelea kujiridhisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe aliajiliwa BOT kwa kutumia jina la Firimon Gastura ikiwa hakumaliza Masomo yake. Na ni kwa namna gani Mtu mmoja anaweza kutumia Majina mawili tofauti ktk elimu kwa ngazi tofauti.
Ukweli ni kwamba, taarifa za Elimu ya Freeman Mbowe zina mazonge mengi lkn pia jitihada za kufichika kwake ni kubwa zaidi.
Tunaomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi ili kuweka kumbukumbu sawa!
Baada ya ukamilisho huu tutaitoa CV ya Freeman Mbowe ama Firimom Gastura hadharani!
Unapoishi ktk Nyumba ya Vioo, jitenge na Vita za Mawe!
Kwa ushirikiano wa Magoiga SN-Mwanza.
MIMI,
[HASHTAG]#NinamuungaMkonoRaisWangu[/HASHTAG],
[HASHTAG]#NinapigaVitaMatumiziNaBiasharaYaMadawaYaKulevya[/HASHTAG]!
MenukaJr.
HAINUNULIKI
 
mlianza na madawa issue ime pelekea kiongozi kukimbilia south sasa sina hakika likianza ilo nitapelekea nani mwengine kukimbia,maana mna beep mkipigiwa simu mbatupa na kukimbia badala ya kupikea
ALIYE KIMBIA NI NANI SAA MBONA MNAJITEKENYA AFU MNACHEKA WENYEWE
 
Hahaha hahaha kamwe haitakiki... Mbowe kaiba jina la nani?!! Tatizo mnahisi watanzania wajinga, tuna akili vibaya mno.
 
JE WAJUA KUWA FREEMAN AIKAEL MBOWE NDIE FIRIMON GASTURA WA IHUNGO SEC??
-----------------------------------------------------------------

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni!

JINA LA KUZALIWA:- Freeman Aikael Mbowe.

ELIMU:

SHULE YA MSINGI:- Lambo-Moshi (Jina-Freeman Aikael Mbowe).

SHULE YA SEKONDARI (I-IV) :- Kibaha Sec-Pwani (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
- Inasemekana alihitimu Kidato cha Nne Mwaka 1979, akapata daraja la Nne (Failure).

SEKONDARI A'LEVEL:- Ihungo Sec-Bukoba.
JINA:- Firimon Gastura.
-Zingatia kwamba, Firimon Gastura alionekana akisoma Milambo Boys Kidato I-IV, wakati huo Freeman Aikael Mbowe akiwa Kibaha Sec.

N:B, Inasemekana kuwa Firimon Gastura hakumaliza masomo yake pale Ihungo kutokana na sababu mbalimbali (hazitaelezwa leo) lkn jambo kubwa ni kwamba baada ya muda Firimon Gastura alionekana Benk Kuu ya Tanzania (BOT) akiwa Bank Officer (mwajiliwa) wakati huo Gavana akiwa Mzee Mtei.

ZINGATIO:
Tunaendelea kujiridhisha na taarifa hizi kwa kutambua uhusiano kati ya Freeman Mbowe wa Kibaha Sec na Firimon Gastura wa Milambo Boys. Pia tunaendelea kujiridhisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe aliajiliwa BOT kwa kutumia jina la Firimon Gastura ikiwa hakumaliza Masomo yake. Na ni kwa namna gani Mtu mmoja anaweza kutumia Majina mawili tofauti ktk elimu kwa ngazi tofauti.
Ukweli ni kwamba, taarifa za Elimu ya Freeman Mbowe zina mazonge mengi lkn pia jitihada za kufichika kwake ni kubwa zaidi.
Tunaomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi ili kuweka kumbukumbu sawa!
Baada ya ukamilisho huu tutaitoa CV ya Freeman Mbowe ama Firimom Gastura hadharani!
Unapoishi ktk Nyumba ya Vioo, jitenge na Vita za Mawe!
Kwa ushirikiano wa Magoiga SN-Mwanza.
MIMI,
[HASHTAG]#NinamuungaMkonoRaisWangu[/HASHTAG],
[HASHTAG]#NinapigaVitaMatumiziNaBiasharaYaMadawaYaKulevya[/HASHTAG]!
MenukaJr.
moja baada ya jingine
 
Suala la Bashite kupata 0 siyo tatizo. TATIZO NI KUFOJI VYETI WAKATI NYIE WENYEW MLIANZISHA UHAKIKI WA VYETI FEKI
Zero wengi wamepata, wamerisiti na sass wako vizuri. Kinachoongelewa ni kufoji vyeti na kuendelea kufanya kazi wakati wengine wameshitakiwa na kazi wamefukuzwa.
SHERIA INA MACHO NA ILITUNGWA KWA WATU WENGINE NA SIYO KWA WENYE NCHI.
Km bashite ataendelea kufanya kazi basi na wengine warudi kazini wenye vyeti feki. HAKI SAWA
 
Mbowe hatumii vyeti vyake. alifnji cha Filimon Gastura. Muda tu utasema
Dawa imewaingia nyie na usifikiri watu wanaishi kibashite bashite. Mtaibika sana nyie.
Mpaka sasa ni dhahiri kbsa uhakiki wa vyeti feki ni batili na hauna maana.
*FISADI NI FISADI TU SASA HUYO MNAYEMUITA ANACHUKIA UFISADI NA UHALIFU YUPO WAPI? NAONA WANACCM KM LIZABONI,WAKUDADAVUA. MWASITA MOJA NA WENGINE WAMEKUWA WAPOLE
**Mkumbuke mnaongoza watu wa 2017 wenye akili nyingi sana***
99% mefoji vyeti ndiyo maana maamuzi yenu ya ovyo sana km yule jamaa aliyefuta ajira. Na Mungu atawaibisha sana kwa udhalimu wenu
 
Bwana yesu asifiwe sana...
bwana yesu asifiwe sana...

Bwana aliye mwema amenituma nizungumze nanyi mawili matatu juu ya dungu yetu bwana daudi....

Sasa basi
GHapa kwenye Ofisi ya Kanisa tunacho cheti chake alichozungusha
ZERO
30_20e3.png
0⃣...sema Ameeen!!
"Ameeeen!!

[HASHTAG]#gwajima[/HASHTAG]
Lakini hili tutadili nalo badae wacha tumalizane na Bashite kwanza then ndio tutamrudia huyo nae atuelezee vizuri
 
Suala la dawa za kulevya kupambana nalo yahitaji moyo wa ujasiri sana.. Amina aliaga dunia hivi hivi kisa kusema hata kama ni mume wake atamtaja....
Sasa Makonda wanamtafutia kila mbinu, watatumia njia za kumchafua, wakishindwa watatafuta njia nyingine ili wammalize sababu ameanzisha suala la madawa ya kulevya...
Dunia nzima suala hili limekuwa gumu.
Ila inasikitisha sana vijana wetu wanavyoangamia...Unamkuta kaka yako ambaye angekuwa nguzo ya familia baadae, amekaa mahali anatoa udenda na kusinzia hovyo.
Nenda Feri uone watoto wadogo wa kiume wanavyoharibiwa....wanawapa madawa ya kulevya wakishalewa wanawashusha kule bondeni feri wanawafanya vitendo vibaya...
Maneno meengi.cheti kiko wapi au kafata huko South Africa
 
Makonda hakuwa sahihi kumtaja Gwajima kuwa anahusika na dawa za kulevya wakati hakuwa na ushahidi angalau wa asilimia 90. Kitendo cha Gwajima kutofunguliwa mashitaka, maana yake alimtaja bila ushahidi.

Gwajima hapaswi kuendesha vita yake binafsi na Makonda kupitia Kanisa. Ni kama ambavyo Makonda hakuwa sawa kutumia cheo chake kumpa Gwajima tuhuma nzito za dawa za kulevya.

Tafsiri ni kuwa Makonda alitumia ofisi yake vibaya, naye Gwajima ametumia madhabahu yake vibaya. Kwa msemo wa mtaani, hiyo wanaita “mbwa kala mbwa! Yaani mechi sare. Kwamba ngoma droo.

Wanasheria wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao katika kesi, hufanya marejeo ya kesi za nyuma zenye mfanano na kesi husika ili kuzipa uzito hoja au hukumu, wenyewe huita legal citation.

Kwa kesi hii, ‘legal citation’ ambayo naitumia ni tukio la miaka nane iliyopita, pale mfanyabiashara Reginald Mengi alipotangaza wafanyabiashara watano kuwa ndiyo mafisadi papa. Aliwataja kuwa ni Rostam Aziz, Yusuf Manji, Tanil Somaiya, Jeetu Patel na Subhash Patel.

Rostam alimjibu Mengi kwa kumtaja kuwa ni fisadi nyangumi. Baada ya hapo mzee Mengi alikwenda mahakamani, akituhumu kuchafuliwa jina lake.

Swali likawa, je, kwani wakati yeye anataja mafisadi papa, alidhani Rostam angechekelea na asingeumia? Kila nafsi ina nyama na damu, kinachokuumiza wewe, na mwenzako akitendewa kitamuumiza.

Kama ambavyo Makonda anaumia na hata kutoa machozi kwa sababu ya mjadala wa cheti, ndivyo na Gwajima aliumia sana kutajwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya. Zaidi Gwajima alilala mahabusu, akapelekwa nyumbani kupekuliwa kisha kupimwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Gwajima hakulia ila aliumia.

Kinachotokea kati ya Makonda na Gwajima, ni ile dhana kuwa ukichezewa rafu uwanjani kisha ukarudisha, wewe unakuwa umekosea zaidi. Hata hivyo ukweli usiopingika ni kuwa anayetumia mamlaka ya nchi kumkabili raia isivyofaa, anapaswa kuwa mkosefu zaidi.

Kwa msingi huo, watu wanaomlaumu Gwajima kutumia uwanja wa taasisi yake ya kidini kumkabili Makonda, wanatakiwa kuwa wakali zaidi kumsema Makonda kutumia ofisi ya umma kuzushia watu kashfa na kuwachonganisha na jamii

By chibudeeee
bfa8c004895a2a4b054c55f67c46e31b.jpg
 
Aliyekuwa wa kwanza kunyanyua domo lake ni lazima akaangwe

Ndio maana kuna fidia mahakamani kama umempotezea mtu time ya bure

Gwajima yupo sahihi. Hata kama hatumii njia sahihi

Yule kiumbe ndio JANGA la nchi!

MITIHANI YOTE KAFELI HALAFU ANAJIITA RC?

anawaaibisha maRC wote!.

hata sijui why bado ana hata kanguvu ka kutembea!

Tumetofautiana sana!

BTW huko mahakamani ndio kumeoza zaidi (most of them)
Watu wanaangalia njaa zao na vihofu vyao vya kijinga vya kumhofia fulani hadi wanapindisha sheria

Hata kama Gwajima ana haki dhidi ya kile KIUMBE bado atasumbuliwa sana.

NAJUTA KUMPIGIA KURA MAGU

Anahusika moja kwa moja na huu uozo

Coz ni yeye ndo alimchagua bila hata kujua REAL history ya KIUMBE yule dhalili

At least mie fake wa mtandao sio wa vyeti

NIMEKUZIDI ELIMU Mh. Bashite

Nipe heshima yangu kama kiongozi wako kitaaluma!

Basi tu, Watanzania ni waoga

OTHERWISE ........!!!!

Fake mie!
 
Back
Top Bottom