Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Nikupe tu pole na kukuomba badili biashara kieleweke. Utawala huu mwingine haujawahi kutokea!
Siamini katika uharamia wowote kutimiza malengo yangu katika maisha!Ndio maana nashangaa unapomuita shujaa mtu aliyepata mafanikio kwa kufanya uhalifu!
Jasho langu ndio linanipa riziki!Pole kama unafikiri tofauti,maana kwako kila mkosoaji basi ana maslahi fulani na jambo husika!
Justice for all,msimamo wa Rais juu wa walio na vyeti feki unajulikana!
 
Gwajima ni muongo!! Hakunaga cheti cha division O!! Na muongo baba yake ni lucifa( according to the Bible)!! Kama siyo muongo aweke vyeti hapa tuvione!!
Hivi transcript kwa kiswahili inaitwaje!?
 
Tujifunze unapojiona wewe ni msafi sana na kuanza kuchafua majina ya watu matokeo yake ndio haya.nasikia anashinda kwa masheikh na maaskofu wamuombee sijui ndo apate cheti hata aeleweki. Tujifunze jamani

Suala la dawa za kulevya kupambana nalo yahitaji moyo wa ujasiri sana.. Amina aliaga dunia hivi hivi kisa kusema hata kama ni mume wake atamtaja....
Sasa Makonda wanamtafutia kila mbinu, watatumia njia za kumchafua, wakishindwa watatafuta njia nyingine ili wammalize sababu ameanzisha suala la madawa ya kulevya...
Dunia nzima suala hili limekuwa gumu.
Ila inasikitisha sana vijana wetu wanavyoangamia...Unamkuta kaka yako ambaye angekuwa nguzo ya familia baadae, amekaa mahali anatoa udenda na kusinzia hovyo.
Nenda Feri uone watoto wadogo wa kiume wanavyoharibiwa....wanawapa madawa ya kulevya wakishalewa wanawashusha kule bondeni feri wanawafanya vitendo vibaya...
 
Kumejitokeza migongano ya kimitazamo,kimantiki na kiimani kuhusu tuhuma zinazomkabili mkuu wa mkoa wa DSM Ndugu Paul Christian Makonda ambapo baadhi yetu wanaamini jina hilo sio lake na kwamba Mkuu huyo wa Mkoa aliforge Vyeti na kwamba jina lake Halisi ni Daudi Alberth Bashite.

Ni vyema tukapiga kura ili kujua ni wangapi miongoni mwetu wanaaminiRC DSN kaforge vyeti Na wangapi wanaamini Jamaa ni clean na kwamba tuhuma na shutuma zinazoelekezwa dhidi yake ni Matokeo ya Mapambano yake dhidi ya madawa ya kulevya na uhalifu unaohusiana na Madawa ya kulevya.
 
Kumejitokeza migongano ya kimitazamo,kimantiki na kiimani kuhusu tuhuma zinazomkabili mkuu wa mkoa wa DSM Ndugu Paul Christian Makonda ambapo baadhi yetu wanaamini jina hilo sio lake na kwamba Mkuu huyo wa Mkoa aliforge Vyeti na kwamba jina lake Halisi ni Daudi Alberth Bashite.

Ni vyema tukapiga kura ili kujua ni wangapi miongoni mwetu wanaaminiRC DSN kaforge vyeti Na wangapi wanaamini Jamaa ni clean na kwamba tuhuma na shutuma zinazoelekezwa dhidi yake ni Matokeo ya Mapambano yake dhidi ya madawa ya kulevya na uhalifu unaohusiana na Madawa ya kulevya.
Halafu iweje?
 
Ukweli haupigiwi kura. Aoneshe vyeti au ajipeleke Segerea maana ni miaka 28.
 
upige kura kwani yeye kafa, anashindwa kuwaita, wandishi wake, na Tv yake ya mawingu ajieleze.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama utapigiwa kura na mtu mmoja. Ila uwe umefanyiwa utafiti. Huna facts unapigia kura ushabiki au kufuata upepo?
 
Kazi unayo hahahahaaaaaaa

Endeleeni mnaofata mkumbo wa uongo kuufata, hahahaaaaaaa

Kiongozi jembe


Makonda Oyeeee
 
The only person wa kumaliza utata wa hili ni ndugu Makonda mwenyewe. Lakini hebu tujiulize. Who is Makonda? si ni mwananchi kama sisi? kwa nini swala kuhusu vyeti vyake liwe big deal? I mean Mh. Rais alisema kuna uhakiki. Sasa huo uhakiki unawagusa watu gani na kuwaacha watu gani? Kwani Makonda siyo mtumishi wa umma? I mean si analipwa kwa kodi zetu? What happened to Leadership by example?

Kuna watu wanakatwa 15% ya HELSB. Kuna watu wameanikwa kwamba ni vilaza. Kuna watu wamerudishwa nyumbani wakajipange upya kwamba qualifications zao hazitoshi kuingia vyuoni. I mean hili swala limeumiza wengi. Na ni very unfair watu kuamka na kusema kwamba huyu Makonda tumuache. It is double standard ambayo itatutafuna mpaka kizazi.

Makonda should come out clean and say: Nina vyeti halali au kama hana basi arudi shule akasome. Ni kijana mdogo. Anakokwenda ni mbali kuliko alikotoka. Sioni sababu kwa nini yeye awe mgumu katika hili.

Akishindwa ku-deal na hili swala, hakika hatakuwa na moral authority ya kukemea maovu kwenye jamii yetu. Utaanzaje kukemea utendaji mbovu na vyeti feki wakati wewe ni mtuhumiwa nambari moja? Makonda atumie busara. Asi-push mpaka Rais afanye maamuzi ya hatma yake. Kama hana vyeti aombe kujiuzuru akiwa bado na credibility kwa aliye mteua then arudi shule.

Though Kiukweli, Makonda as the rising star, amempa pigo Rais wetu aliyemwamini mpaka kumsifia kwenye public. Na media (za ndani na nje) zisivyo na adabu, lazima kesho na kesho kutwa kwenye press conference ya Rais, Magufuli ataulizwa. Atajibu nini? na vita yake aliyoianzisha dhidi ya vyeti feki? In fact mpaka leo tunaambiwa mishahara haipandi kwa sababu ya watu wenye vyeti fake/hewa!

You cant simply whitewash hii kitu kwamba ni kelele za wauza madawa ya kulevya. Ni zaidi ya wivu na chuki binafsi. Makonda awajibike. Ni elimu yake. Inagusa utu wake na strggle zake kama binadamu yeyote yule. Kama hana cheti halali, basi, akung'ute kanzu yake na kurudi shule. Kama ni kusoma QT hajachelewa pia.

Masanja.
 
1 je ni watanzania wote wanatumia majina yao halali?
2 Viongozi wote wana vyeti halali?
3. Namjua makonda kuanzia akiwa mwenyekiti uvccm taifa waliomchagua na kumpitisha toka uanachama ukada hadi kushika nafasi nyeti kitaifa hawakuliona hilo?
4 Rais Kikwete alimteua kuwa mkuu wa wilaya hakuliona hilo?
5 Rais wetu wa sasa kamteua kuwa mkuu wa mkoa hakuliona hilo?
6 kwa wanaofahamu historia ya makonda kama hana vyeti kwa kipindi chote hicho walikuwa wamelala au wamesafiri nje ya nchi hadi wakashindwa kusema na kama waliamua kukaa kimya kusudi walinyamazishwa na nini , je ni kwa kuwa sasa amejitoa kupambana na dawa za kulevya? watanzania tuwe wakweli tusiwe wanafiki
 
We jamaa hili nalo linahitaji kupigiwa kura?? Una kazi kweli ya kufanya mpaka unaruhusu muda wako kupotea hivi?
 
Jambo dogo tu. Si aweke wazi vyeti vyake na hati ya kubadili jina hapo tutawajuwa nani mkweli nani muongo. Tumechoka na hii issue za kusakamana, imefikia watu kazi yao ni kujadili umbea tu.
 
usiogope mkuu ili tujue lipi wanaliamini watu anaowaongoza, maana ukiongoza watu ambao hawakuamini unatakiwa kuachia ngazi tu si unakumbuka ya DAVID CAMERON NA BREXIT
Unafikiri anayetuongoza sasa tunamuamini? Hatukumuamini kwenye sanduku hata sasa. Isingekuwa managa(nguvu) muulize angekuwa wapi..
 
Back
Top Bottom