- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,552
Only your father can do that!
Only your father can do that!
HeheeeUliambiwa watumishi wa Mungu wanachunwa bure?
Si mnapenda hela? Endeleeni tu!
Msitufanyie hivyo jamani![]()
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.

Nimesoma nae na mm nimemwomba mkopo tena sio kwakumlazimisha kakubali ila kwamasharti
Sasa tukipenda hela ndio mtufanyie hivyo kweli?Si mnapenda hela? Endeleeni tu!
Nyinyi mna mitego, sisi tuna mbinu!
Kwani ni mkopo? Mie nimesoma ameomba mtaji sio mkopo.Ulitarajia dhamana iwe nini katika mkopo huo....?
Kwani ni mkopo? Mie nimesoma ameomba mtaji sio mkopo.
Ndio. Ukimwaga mboga, mi namanga ugali. Silali njaa!Sasa tukipenda hela ndio mtufanyie hivyo kweli?
We mwenyewe unajua maisha bila pesa hayaendi ndio maana hata kanisani wanataka sadaka.Ndio. Ukimwaga mboga, mi namanga ugali. Silali njaa!