Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

Status
Not open for further replies.
Teh teh teh.
It takes a lot of things to prove you are smart, but only one thing to prove you are ignorant.

You just proved that big mouth.

Ulitaka Mzinifu aliyelala na mtoto wa kaka yake tumnyamazie?
Ukafiri mbaya sana.
Makafiri wako Saudia!
Smart ass.
 
Si waliambiwa watakuwa wavuvi wa watu ndivyo wanavyotafsiri ogopeni hayo madhehebu yasio na history mtu anaanzisha ili kupiga pesa ona kala kondoo
 
Ahaaaa! Eti shetani amempiga chenga!! Wewe shetani umemkaribisha mwenyewe halafu eti umsingizie?
 
Mchungaji wa kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) katika kijiji cha Mgongoro kata ya Igunga mkoani Tabora, Abel Godfrey, amekamatwa na waumini wake baada ya kudaiwa kukutwa akifanya mapenzi na binti wa kaka yake.

Waumini hao wakishirikiana na uongozi wa serikali ya kijiji hicho, walifanya tukio hilo juzi saa 5:30 usiku akiwa na binti huyo Magreth Emmanuel (20) mwenye mtoto mchanga wa miezi minne.

Akizungumza kwa masikitiko babu wa binti huyo, Bictoni Kyarero, alisema mchungaji Godfrey, alikuwa na tabia hiyo kwa mwaka mmoja sasa, lakini tabia hiyo ilimchosha na kutoa taarifa kwa waumini wake pamoja na uongozi wa mtaa kisha kumuwekea mtego uliomnasa akiwa katika nyumba hiyo.

Amesema baada ya kumkamata alijaribu kukimbia lakini walifanikiwa kumdhibiti na kisha kukiri kufanya mapenzi na binti huyo huku akiwabembeleza waumini wake wamfichie siri.

Kwa upande wake binti huyo alipoulizwa kuhusu kufanya uzinzi na baba yake mdogo, alikiri huku akisema alitenda kosa hilo baada ya kutishwa na mchungaji huyo iwapo angekataa angemuombea kwa Mungu ili awe kichaa.

Akizungumzia tukio hilo, mchungaji huyo amekiri kutenda kosa hilo na kubainisha alifanya hivyo baada ya kuzidiwa ‘ujanja’ na shetani huku akitubu na kudai hatorudia tena kosa hilo.

Naye mtendaji wa kijiji hicho, Edward Kitenya, alisema mchungaji huyo walimkamata akiwa katika nyumba ya tembe wakiwa wamelala baada ya kutandika turubai chini wakiendelea kufanya mapenzi na binti huyo kisha kumweka chini ya ulinzi mpaka asubuhi na kupigishwa faini ya Sh. 20,000 na kuachiwa huru.

Kwa upande wao baadhi ya wananchi waliuomba uongozi wa kanisa hilo kumvua uongozi kwa kuwa amekiuka maadili ya uongozi na kufanya waumini kutomwamini tena kama kiongozi wa kiroho.

Mtendaji wa kata ya Igunga, Fredrick Masesa, amewaomba viongozi wa dini pamoja na wananchi kwa ujumla kuzingatia maandiko matakatifu ya mwenyezi Mungu ya kutofanya vitendo viovu ili wamtumikie kiusahihi.

Kwa upande wake mchungaji wa kanisa la kijiji cha Mwanzugi, Fanuel Daniel, alithibitisha kukamatwa kwa mchungaji wa kanisa la kijiji cha Mgongoro, Godfrey na kusema tayari wamemsimamisha kutoa huduma mchungaji huyo kwa muda usiojulikana mpaka uongozi utakapokutana wote kwa ujumla na kuongeza kuanzia sasa kanisa hilo la Mgongoro litaongozwa na Philipo Makeremo ambaye pia ni katibu wa kanisa.

Chanzo: EATV
Mchungaji anakula matunda ya mifugo yake.
 
Yaani Faini Ya Elfu 20 Tu Kwa Kosa La Kuzini Na Mwanaye!!!! Hii Kweli Ni Ajabu Na Kweli!!!!
 
Ndio hujui kusoma au kutafakari ulichosoma? Kosa la kwanza amezini la pili amezini na binti yake sio mwanamke tu kama wewe unavyomwita loosely au uniambie kama kwenu mnagegeda binti zenu na mama zenu na sio issue la tatu ambalo linajibu hoja yako ya coercion ni kuwa amemtishia kumtia uchizi kwa kumuombea kwa Mungu!
Wapi pagumu kuelewa hapo?

Nashkuru sana kwa maelezo yangu
Kama issue ni coercion, sheria inasemaje kuhusu hilo? fine ndo elfu 20?
swala la kuzini, na kuzini sijui na nani, hiyo ni kiimani na kijamii tu, katika sheria kuna sheria inayozuia mtu kufanya mapenzi na mama, dada au mtoto wake kama hayuko under age?
 
Huyu ni mhuni wa kawaida aliyejiingiza katika kundi ili kuharibu kundi. Hajawahi kuokoka. Ni wakala wa Shetani. Mtawajua kwa matunda yao.
 
Makafiri wako Saudia!
Smart ass.
Teh teh teh.
Dah.
Makafiro mkielezwa ukweli mnaanza kuleta maneno ya rusha roho.
Yaani we huyo MCHUNGAJI muwakilishi wa PAULO na Kanisa Kumzini mtoto wa KAKA YAKE walla haikupi tabu.
Unaona tabu hata sema UKWELI.

Siku mwanao atakapo lawitiwa na hawa hawa wachungaji sijui utalia na nani. Naona hilo domo lako kwenye Avatar litapiga chini kwa kupiga vigelegele.

Haya! We endelea kuleta nyimbo za kwaya hapa. Siku yako itafika tu.
 
Hahahaha mchungaji kula mbuzi wake mi sion ajabu jaman hii ni kawaida kabisa shetan akikupitia
 
Teh teh teh.
Dah.
Makafiro mkielezwa ukweli mnaanza kuleta maneno ya rusha roho.
Yaani we huyo MCHUNGAJI muwakilishi wa PAULO na Kanisa Kumzini mtoto wa KAKA YAKE walla haikupi tabu.
Unaona tabu hata sema UKWELI.

Siku mwanao atakapo lawitiwa na hawa hawa wachungaji sijui utalia na nani. Naona hilo domo lako kwenye Avatar litapiga chini kwa kupiga vigelegele.

Haya! We endelea kuleta nyimbo za kwaya hapa. Siku yako itafika tu.
Mchungaji kafanya kosa, na hao machangu doa wa kiume wa Saudia vipi?
 
MIKULA KONDOO WAKELOHH

KILICHONIUMA NI KUTUMIA SADAKA YAKANISA KUTOLEA FAINI YA UZINZI

HAPA ALAANIWE YEYE NA MPOKEAJI
 
Shetani ni mjanja sana wengi wanazidiwa ujanja na shetani sio mchungaji peke yake

Huyu mchungaji kafanya makosa mengi tu.

1) Kazini
2) kavunja sheria ya uongozi
3) kazini na mtoto wa kaka yake
4) Kawataka kondoo wake waseme uongo
5) Kamdanganya mwanamke huyo kwamba akikataa kuzini nae atamwombea Dua kwa Mungu ili awe kichaa.
6) Kadanganya eti kazidiwa nguvu na shetani kuzini na mtoto wa kaka yake!!
 
Mchungaji wa kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) katika kijiji cha Mgongoro kata ya Igunga mkoani Tabora, Abel Godfrey, amekamatwa na waumini wake baada ya kudaiwa kukutwa akifanya mapenzi na binti wa kaka yake.

Waumini hao wakishirikiana na uongozi wa serikali ya kijiji hicho, walifanya tukio hilo juzi saa 5:30 usiku akiwa na binti huyo Magreth Emmanuel (20) mwenye mtoto mchanga wa miezi minne.

Akizungumza kwa masikitiko babu wa binti huyo, Bictoni Kyarero, alisema mchungaji Godfrey, alikuwa na tabia hiyo kwa mwaka mmoja sasa, lakini tabia hiyo ilimchosha na kutoa taarifa kwa waumini wake pamoja na uongozi wa mtaa kisha kumuwekea mtego uliomnasa akiwa katika nyumba hiyo.

Amesema baada ya kumkamata alijaribu kukimbia lakini walifanikiwa kumdhibiti na kisha kukiri kufanya mapenzi na binti huyo huku akiwabembeleza waumini wake wamfichie siri.

Kwa upande wake binti huyo alipoulizwa kuhusu kufanya uzinzi na baba yake mdogo, alikiri huku akisema alitenda kosa hilo baada ya kutishwa na mchungaji huyo iwapo angekataa angemuombea kwa Mungu ili awe kichaa.

Akizungumzia tukio hilo, mchungaji huyo amekiri kutenda kosa hilo na kubainisha alifanya hivyo baada ya kuzidiwa ‘ujanja’ na shetani huku akitubu na kudai hatorudia tena kosa hilo.

Naye mtendaji wa kijiji hicho, Edward Kitenya, alisema mchungaji huyo walimkamata akiwa katika nyumba ya tembe wakiwa wamelala baada ya kutandika turubai chini wakiendelea kufanya mapenzi na binti huyo kisha kumweka chini ya ulinzi mpaka asubuhi na kupigishwa faini ya Sh. 20,000 na kuachiwa huru.

Kwa upande wao baadhi ya wananchi waliuomba uongozi wa kanisa hilo kumvua uongozi kwa kuwa amekiuka maadili ya uongozi na kufanya waumini kutomwamini tena kama kiongozi wa kiroho.

Mtendaji wa kata ya Igunga, Fredrick Masesa, amewaomba viongozi wa dini pamoja na wananchi kwa ujumla kuzingatia maandiko matakatifu ya mwenyezi Mungu ya kutofanya vitendo viovu ili wamtumikie kiusahihi.

Kwa upande wake mchungaji wa kanisa la kijiji cha Mwanzugi, Fanuel Daniel, alithibitisha kukamatwa kwa mchungaji wa kanisa la kijiji cha Mgongoro, Godfrey na kusema tayari wamemsimamisha kutoa huduma mchungaji huyo kwa muda usiojulikana mpaka uongozi utakapokutana wote kwa ujumla na kuongeza kuanzia sasa kanisa hilo la Mgongoro litaongozwa na Philipo Makeremo ambaye pia ni katibu wa kanisa.

Chanzo: EATV
HII DUNIA INAPOELEKEA SIJUI..MUNGU TUNUSURU NA HAYA MAJANGAAA
 
Kuzini na mtoto wa kaka yako sio kawaida, labda kwako tu ndio kawaida.

Kufuatana na maneno yako,Inaonyesha na wewe unazini na ndugu yako wa damu.
Teh teh teh.
Maalim Mahmood mbavu zangu huku!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Hawa makafiri ni Balaa wallah.

Yaani Kuzini na watoto wai ni km sisi kunywa gahwa na Tende.
 
Ajabu sana, hawa kondoo wa Paulo wamepotea njia wanahitajia mtu wa kuwaelekeza njia sahihi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom