Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

Status
Not open for further replies.
Si
Ingekuwa Dar naamini vyombo kama Polisi na watu wa haki za Binadamu wange jump in mara moja, nadhani ni kosa kisheria kufanya mapenzi na ndugu wa damu
Sio kosa wala, huyo siku hizi ishakuwa kawaida mbona
 
Imani zingine bwana, Mtumishi wa Mungu anamtisha muumini eti usiponipa uchi nitakuombea kwa Mungu uwe kichaaa!! Aiseee Mungu kweli ana kaz ya ziada
Mkuu hiyo kitu ni tamu balaa acha kabsa watu wanahonga nyumba magari meli ndege
 
Haya mambo yapo duniani kote & kwa dini zote. Uhusiano wa mtu binafsi na Mungu wake ndio cha muhimu. Kwani hamjasikia vitoto vikibakwa madrasa?! Simama katika imani yako & kufuata misingi yake. Usiangalie fulani kafanya nini. Haitakusaidia!
 
Hii ni dalili ya ubinadamu. Kuwa mchungaji haimaanishi uko level ya uungu
 
Mwaka mzima, akapigwa fine Tshs 20,000?

Kweli Elimu inatakiwa ipewe kipaumbele cha hali ya juu. Mungu gani huyo anayeruhusu mtumishi wake kuombea wenzie ukichaa kisa uzinzi?

Aliyeandika kwamba watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, hakukosea. ....
Umeona ee, kutupa taka hovyo fine 50,000/= hili kosa la kiuaji hivi unachaji 20,000/=? kazi ipo.
Mwisho,
Hizi sheria za mtaani itabidi ziangaliwe upya. ..
 
Nimepata msamiati mpya: nikitenda dhambi nitakuwa "nimezidiwa ujanja na shetani"
 
Halafu tukisema Ukafiri nuksi mnakasirika.

Tazama sasa! Baba mdogo anazini na mwanae.
 
Nimepata msamiati mpya: nikitenda dhambi nitakuwa "nimezidiwa ujanja na shetani"
Ha ha ha. Baaaaba Katika Jiiiina la Yeeeesu!!! Shetani Toooooka!!!! Umekombolewa mkuu, shetani hatakuzidi ujanja tena😛
 
Ha ha ha. Baaaaba Katika Jiiiina la Yeeeesu!!! Shetani Toooooka!!!! Umekombolewa mkuu, shetani hatakuzidi ujanja tena😛
Amina mchungaji uliyezidiwa ujanja na shetani.
Haaaa haaaa
 
Huyu Mchungaji kiboko atakuwa kaishawatafuna sana kondoo wake.
 
Hawa wanaojiita walokole kila siku wanaibua vioja vipya,
Acha tubaki wasikilizaji tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom