jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,990
- 4,361
Yaaanaaani!!! Laaana iliyopitiliza. Ama kweli za mwizi 40, wamuulize tu binti hako katoto ka miezi 4 baba yake ni nani?😡
Hatari sana, tumefika pabaya! Halafu jamaa anatoa 20,000/- na kesi imeisha
Yaaanaaani!!! Laaana iliyopitiliza. Ama kweli za mwizi 40, wamuulize tu binti hako katoto ka miezi 4 baba yake ni nani?😡
Mapenzi na Pesa ndo vitu vinavyowaangusha wapendwa wengi
Hapana,hastaiki kufungwa wala kuhukumiwa kwa lolote lile hata hiyo elfu ishirini waliyomtoza kama faini ni kumuonea tu, kwa sababu imani yake inakataza kabisa kumhukumu mtu kwa kosa lolote lile,wewe ni nani unayetaka mchungaji aliyetafuna kondoo wake kwa kumtishia kwamba asipokubali kutafunwa atamuombea kwa mungu awe kichaa? angalia nawe usije ukahukumiwa.Kosa alilolifanya Mchungaji huyo ni la ubakaji yaani kumwingilia mwanamke bila ridhaa kwa hiyo adhabu aliyopewa ati ya faini ya 20,000/= ni ndogo mno na hailingani na kosa lenyewe.
Tunashangazwa na uzembe wa vyombo vya dola vya eneo hilo kuachilia dhulma hii ifanyike bila ya mtuhumiwa kupewa adhabu stahiki ambayo ni kifungo kisichopungua miaka 30 jela.
kaka, huko ni bush ujue, kwa hio dem lenyewe unakuta shamba kichizi, ukijumlisha na uchungaji feki wa jamaa, ndo kabsaa dem likaona litakua chiz, au huenda ukakuta na manzi lenyewe lilikua linaona hara, mwaka mzima mwee!Binti wa miaka 20 anapigwa biti ya kitoto hivo eti "angekataa angemwombea kwa mungu awe kichaa"
Ndugu.wa damu ni yupi?Ingekuwa Dar naamini vyombo kama Polisi na watu wa haki za Binadamu wange jump in mara moja, nadhani ni kosa kisheria kufanya mapenzi na ndugu wa damu
Ndio hujui kusoma au kutafakari ulichosoma? Kosa la kwanza amezini la pili amezini na binti yake sio mwanamke tu kama wewe unavyomwita loosely au uniambie kama kwenu mnagegeda binti zenu na mama zenu na sio issue la tatu ambalo linajibu hoja yako ya coercion ni kuwa amemtishia kumtia uchizi kwa kumuombea kwa Mungu!Huyo wamemuonea, na anaweza kuwashtaki akitaka unless wathibitishe kuwa it was against woman's will. vinginevyo wametumia sheria gani kumpiga fine? au kosa alilotenda huyo mchungaji kisheria ni lipi? tuachane na imani pembeni, tuongelee sheria.
Two wronds do not make a right!Unaleta Story za mipasho bila kuwa reliable sources! Nyie viumbe ni watu wa ajabu sana.
Kwanza dunia nzima inatambua kuwa Hukumu ya Gays and lesbians ktk Saudi Arabia ni KIFO! full stop.
Pili Huyu Mchungaji KAMZINI MTOTO WA KAKA YAKE.!
Sasa wewe kwa akili zako zilivyo ndogo hata km huyo shoga ni kweli yupo unalinganisha KUZINI MTOTO WA KAKA YAKO na Kuwa Shoga?
Ndio maana Paulo akawauliza ktk Galatia 3:1 kuwa "enyi wagalatia msiokuwa na Akili, ni nani aliyewaloga?:.
Na mimi namjibu "Aliyewaloga ni wewe Paulo Laanatullah!
Ahsanta.
Teh teh teh.Two wronds do not make a right!
Ulikosea ulipoingiza hisia zako za ukafiri, na ndio maana kakuwekea link ya huko wanakouwawa kuwa nako kuna watu najisi.