Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

Status
Not open for further replies.
Huo mchezo utaendelea tu..wataendelea kugegedana kama kawaida...
 
Ibilisi katika ubora wake.Na kwa kuwa ibilisi ameshachezea akili zetu na kutufanya MAZUZU na MAHAYAWANI kiasi kwamba mambo ya hovyo,machafu na ya aibu kwetu yamekuwa mazuri na yenye kupendeza,matukio ya namna hii yataongezeka maradufu.Angalia jibu la huyo binti na jibu la huyo mchungaji;utagundua tu kwamba AKILI ZAO HAZIKO SALAMA ingawa ziko timamu.

Kweli Ibilisi anamshauri binadamu kufanya maasi lakini Binadamu ana khiyari (choice) ya kukataa kufanya maasi hayo au kukubali kufanya maasi hayo (kwa hiyo makosa ni ya binadamu mwenyewe)

Binadamu hana excuse ya kufanya maasi (ndio maana waasi ma criminals wataenda motoni wasipo tubu na kujisalimisha kwa Mungu Mmoja tu).
 
Ingekuwa Dar naamini vyombo kama Polisi na watu wa haki za Binadamu wange jump in mara moja, nadhani ni kosa kisheria kufanya mapenzi na ndugu wa damu
sio kweli kuna makabila wanaoana uliza wayao.
 
Haya mambo yapo duniani kote & kwa dini zote. Uhusiano wa mtu binafsi na Mungu wake ndio cha muhimu. Kwani hamjasikia vitoto vikibakwa madrasa?! Simama katika imani yako & kufuata misingi yake. Usiangalie fulani kafanya nini. Haitakusaidia!

Umeanza kuleta ushindani hapa ili mabishano yaanze, alosema habari za madrasa hapa ni nani? Au ndo kujaribu kuequalise habari wasionekane wachungaji ndo waovu peke yao? Ujue na wewe pia HAITAKUSAIDIA!!
 
Kosa alilolifanya Mchungaji huyo ni la ubakaji yaani kumwingilia mwanamke bila ridhaa kwa hiyo adhabu aliyopewa ati ya faini ya 20,000/= ni ndogo mno na hailingani na kosa lenyewe.
Tunashangazwa na uzembe wa vyombo vya dola vya eneo hilo kuachilia dhulma hii ifanyike bila ya mtuhumiwa kupewa adhabu stahiki ambayo ni kifungo kisichopungua miaka 30 jela.
Unasemaje kabaka? Una uhakika gani? Nadhani kosa lililo wazi bila ushahidi ni immoral attitude yaani kulala na ndugu japo sijui kama ni kwa imani zote
 
Ndio hujui kusoma au kutafakari ulichosoma? Kosa la kwanza amezini la pili amezini na binti yake sio mwanamke tu kama wewe unavyomwita loosely au uniambie kama kwenu mnagegeda binti zenu na mama zenu na sio issue la tatu ambalo linajibu hoja yako ya coercion ni kuwa amemtishia kumtia uchizi kwa kumuombea kwa Mungu!
Wapi pagumu kuelewa hapo?
Mkuu nachanganya kati ya kosa(kisheria) na dhambi(kidini)
 
Kumlipisha ni kama kuruhusu... akiwa na 20elf anawapa- wanampa,...
Kwa sheria za kawaida kuna ubakaji flani hivi, binti katishwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom