Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Mkuu hautakua na dhambi bali baraka tele kama Yusufu alivyomlea Mariamu mama yake Yesu ujauzito ambao haukua wake kiroho safi.hapo ni kama umezuia makinikia iliyochenjuliwa tayari ni gold tupu na vikorombwezo vyake.nikukamua mpunga tu..
 
Ni rahis sana kuanzisha mahusiano au kuish na mwanamke ambae umemkuta tayar anamtoto kulko mwanamke ambae atapata mimba au atazaa kwa kukusalit mkiwa kwny mahusiano. Mwache aende mkuu kwan sh ngap utapata mwingine
 
Ni uzembe wako tu mpaka umewahiwa, ujifunze sasa. btw ningekuwa mim ningempotezea hapo ataendelea kuwasiliana na mzazi mwenzie ndo mwanzo wa kushare mbunye manina. Acha ujinga huyo piga chini fasta *****. Eti aliingiliwa kwa nguvu baadhi ya wanawake huwajui wewe, hapo piga chini aisee.
 
Yan mtu akutumie kwa nguvu na bado unaona kabisa hana nia njema na wewe na bado hutaki kutoka. Hiyo siku aliyotendewa uovu huo alikujulisha? Kwa nini hakukutafuta kukuambia kafanyiwa hivi na vile ili umsaidie nauli arudi? Kwa ufupi mi naona alipenda mwenyewe ila hilo zee limemchoka ndipo akaja na story za "bila ridhaa"
We jiongeze mwenyewe tu mkuu. Maamuzi yanatoka kwako.
 
Mimi ni mwanamke ukweli ni ngumu kwa mwanaume mmoja kukubaka akafanikiwa na nyumba ina watoto na kwa nn alivyobakwa hakukwambia siku ile ile au ulivyomtumia nauli hakurudi hivi ubakwe bado ukae unasubiri eti mshahara unadai inakuingia akilini hilo kweli huyo kaaga tu huko kwa jamaa kuwa anakuja kwa wazazi kusalimia. Akili kichwani mwako
 
Ni dhahiri hakuwa mwaminifu toka mwanzo na ndiyo maana akawa Mtu wa route,huyo atakusumbua maishan mkuu,hata aibu hana kabisa anakuambia ana mimba ya yule jamaa!,alivyobakwa alichukua hatua gani?,na inakuwaje? abakwe na achukulie poa mpaka arud bila kukutaarifu yaliyojir,kikwetu ni aibu kuoa Mwanamke mwenye Mtoto na italeta dharau kwenye jamii hata binafsi itafika wakat dhamira itakuw inakusuta,hakika nakuambia mkuu ni dharau kubwa kwa Mwanaume rijal,na huyo Mwanamke ameishakuchunguza toka mwanzo na ndiyo maana kapata ujasir wa kukuropokea,hata kama unampenda namna gan? huyo hakufai kabisa na ipo siku utaleya Watoto si wako,mwambie bas haukuwa ridhiki na Mungu atamjalia atampata mwenza,yangu ni hayo,kaz kwako
 
Back
Top Bottom