hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 832
- 335
- Thread starter
- #261
Mrejesho ni kwamba mtoto alivyofikisha miaka miwili alisepa ila jamaa aliyempa ujauzito alifariki mtoto akiwa na miaka miwili, kwa Sasa tangu aondoke mwaka 2019 ndio anataka kurudi na Mimi simtaki tena japo sijaoa tena ila na mtu mwingineMrejesho kaka.