Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Waaaooo mapenzi yana furahisha...


Mm nisiyejua kupenda ningesha mkataa siku tangu akiwa huko huko
Sitakagi ujinga ,


kwann hakusema kabakwa mpk aje huku ndo aseme?!

Kwakweli una moyo wa kupenda,
Huo baki nao mm siutaki[emoji19]
 
Huu ni mwaka wa maamuzi magumu na vitendo yeye kafanya yake na wewe fanya yako.
Mpaka anapata Mimba bila shaka bosi kajisevia mara nyingi
Ila pole kiongozi unamapenzi ya kweli sana unastahili kilicho bora
 
Mkuu hapo akili yako inavyokutuma ndo ufanye make wewe ndo utaishi na huyo mwanamke siku zote.
Kumbuka siku mwenye mtoto akija kwako kusalimia mtoto wakela zima atapewa papuchi.
 
Back
Top Bottom