Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Ni rahis sana kuanzisha mahusiano au kuish na mwanamke ambae umemkuta tayar anamtoto kulko mwanamke ambae atapata mimba au atazaa kwa kukusalit mkiwa kwny mahusiano. Mwache aende mkuu kwan sh ngap utapata mwingine
Poa
 
kwnza mi cjakuelewa.mara useme unampenda na yy ni muwazi kwako.kumbuka ulimuahidi kumuoa ivyo alivyo .so oa tyuu cz ushapenda
 
Ni uzembe wako tu mpaka umewahiwa, ujifunze sasa. btw ningekuwa mim ningempotezea hapo ataendelea kuwasiliana na mzazi mwenzie ndo mwanzo wa kushare mbunye manina. Acha ujinga huyo piga chini fasta *****. Eti aliingiliwa kwa nguvu baadhi ya wanawake huwajui wewe, hapo piga chini aisee.
Nafikiria kufanya maamuzi magumu sana ili niwe na amani ya kudumu
 
Yan mtu akutumie kwa nguvu na bado unaona kabisa hana nia njema na wewe na bado hutaki kutoka. Hiyo siku aliyotendewa uovu huo alikujulisha? Kwa nini hakukutafuta kukuambia kafanyiwa hivi na vile ili umsaidie nauli arudi? Kwa ufupi mi naona alipenda mwenyewe ila hilo zee limemchoka ndipo akaja na story za "bila ridhaa"
We jiongeze mwenyewe tu mkuu. Maamuzi yanatoka kwako.
Hakunijulisha ila nitafanya maamuzi magumu
 
Mimi ni mwanamke ukweli ni ngumu kwa mwanaume mmoja kukubaka akafanikiwa na nyumba ina watoto na kwa nn alivyobakwa hakukwambia siku ile ile au ulivyomtumia nauli hakurudi hivi ubakwe bado ukae unasubiri eti mshahara unadai inakuingia akilini hilo kweli huyo kaaga tu huko kwa jamaa kuwa anakuja kwa wazazi kusalimia. Akili kichwani mwako
Kuna ukweli fulani
Mkuu,, yaan bado unaita " Mchumba Wangu " ,

Acha masiala.
 
Kutoa mimba ni kosa la jinai pia anaweza akapoteza maisha

Lakini pia ujue huyu si kuwa alibakwa , ni kuwa alifanya kwa hiari, sema amegundua tu mambo hayako mazuri kwa aliyempa mimba ndio maana kaja kwako.. ile uwe na amani , nakuhakikishia dawa ni kumwamcha aendelee na huyo jamaa. Tafuta mwingine, especially kwakuwa aliyempa ujazito yuko hai.
 
Back
Top Bottom