hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 832
- 335
- Thread starter
- #61
Sitafuti kiki ni kitu ambacho kimenitokea kweliHivi kuokota pochi tupu na pochi yenye hela ipi ni bora? [HASHTAG]#unatafutakikikwapikipiki[/HASHTAG]
Sitafuti kiki ni kitu ambacho kimenitokea kweliHivi kuokota pochi tupu na pochi yenye hela ipi ni bora? [HASHTAG]#unatafutakikikwapikipiki[/HASHTAG]
Sijaiba mkuu ni mambo yameingiliana tu mkuu. Ww ulifanyaje mkuu?UMEIBA avatar yangu ya zamani
Nahisi atakuwa ananipenda kwani hata kabla hajapata Huu ujauzito alikuwa muwazi na mkweli pia akikosea anajua kujishushaKweli una upendo wa dhati ila huyo mwanamke sio mwaminifu, na sidhani kama she real loves you
wivu tu unakusumbuaYaani wanawake sijui wanatumiaga dawa gani aisee! Ila mtawapataga haohao aisee...
Inategemea na mazingira ya yeye kujazwa ila mtu aliyeoa mtu mwenye mtoto kuna tofauti gani kati ya mimi na yeye?hivi unaweza ishi na mwanamke aliekwishajazwa na mwanaume mwingne
Hapa Yenyewe nimejitahidi kufupisha story kwani kuna vitu vingi sijaandikaMkuu ebu acha utani bwana.. uzi wote huo hata ka-aya baba. Kwa taarifa zako nasubiri uweke aya ndiyo nisome
Poa nitaufanyia kazi ushauri wakoTafuta mtu mwingine bro
Wacha nijaribu na hii mawani ya kizeeHapa Yenyewe nimejitahidi kufupisha story kwani kuna vitu vingi sijaandika
Kama umeoa Mke ana mtoto utasema sio mke wako 7bu alishazaa na mtu mwingine?Sasa kama ana mimba ya mwanaume mwingine unasemaje ni mchumba wako
Mkuu nipo tayari kumuoa kama alivyo labda yeye ndio azingueHuu ni mwaka wa maamuzi magumu na vitendo yeye kafanya yake na wewe fanya yako.
Mpaka anapata Mimba bila shaka bosi kajisevia mara nyingi
Ila pole kiongozi unamapenzi ya kweli sana unastahili kilicho bora
Itabidi nifanye hivyo mkuuWeka ndani kama unampenda, wewe ndio unajua ana thamani gani kwako...
Sikitu....lea mtoto wa mwanaume mwenzako eboo!!
Mkuu mwenye mtoto itabidi achukue mtoto akimtakaMkuu hapo akili yako inavyokutuma ndo ufanye make wewe ndo utaishi na huyo mwanamke siku zote.
Kumbuka siku mwenye mtoto akija kwako kusalimia mtoto wakela zima atapewa papuchi.
Mkuu mwenye mtoto itabidi achukue mtoto akimtakaMkuu hapo akili yako inavyokutuma ndo ufanye make wewe ndo utaishi na huyo mwanamke siku zote.
Kumbuka siku mwenye mtoto akija kwako kusalimia mtoto wakela zima atapewa papuchi.
Asante Mkuuhongera mkuu kwa roho yako ya pekee
Hata ww unaweza kuwa na mchumba watu wengine wakala bila ww kujua labda apate mimba ndio utajuaSasa anakuwaje mchumba wako kama wengine ndio wanamkaza?!