MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,488
- 20,446
🥁 drum sticks kudadadekiYupo vizuri kichwani pamoja na umbo. Ila sijawahi kuona picha akiwa amevaa skirt
You are very correct bro.Sitaki kuwa negative but exam performance na ubobezi katika fani husika ni vitu viwili tofauti.
One can perform wonders on attempting and answering selected number of questions on a paper but i’m telling u it’s quite diffetent from executing the respective field. Take it from me
Unataka ucheki miguu tu.....Yupo vizuri kichwani pamoja na umbo. Ila sijawahi kuona picha akiwa amevaa skirt
Hayupo makini na uandishi wake, nimepata shida kusoma hilo somo analo msifiaTatizo huyu jamaa huwa anachapia sana kwenye kuandika captions/posts zake..
Uwe na bahati SanaYou are very correct bro.
Mimi kuna watu nilisomaga nao ambao walikuwa wanapiga ma GPA ya 4.5 baada ya kumaliza chuo na kurudi mtaani hakuna cha maana wanachokifanya zaidi ya kunyonywa tu kwa wahindi.
Kwa hiyo masters holder hajui kama CAG ni position ya uteuzi tofauti alivyoandika msomi mdodezi(sorry mbobezi)?CAG ni nafasi ya kuteuliwa na Rais sio ya kutuma maombi. Rekebisha title we akili ndogo
Mtoto mkali huyu, walahi huyu hata mwanamke unamtamani mwanamke mwenzio