asanteni sana wapendwa kwa maombi yenu, ni kweli nimepotea kidogo, nina majukumu mengi ofisini na haya ya kuiandaa my dream home! hadi sasa kila kitu kinaenda vizuri kama nilivyokuwa nikiomba na uwepo wa Mungu katika mchakato mzima ni over 100%! muda si mrefu nitakuja na habari kamili. nawashukuruni sana kwa kuungana nami muda wote huu kwa maombi bila kuchoka.
naomba atakayepata nafasi aburudike na wimb wa Upendo Kilahiro uitwao UNAJIBU MAOMBI
Mungu awabariki sana
Glory to God!!