Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

Teheeh!teeheeh!karibia nitaanza na wwe ili uamini vgezo nnavyo,then nikishakupata nasepa.
UKWELI UKO HIVI:
Wanawake wengi wa kichaga
1.Wanaabudu pesa kuliko utu(wengi wao ni wanadamu na sio watu)
2.Wengi wana kiburi na sio challenges(fahamu kutofautisha changamoto na kiburi)
3.Si waaminifu na michepuko ndiyo fani yao(japo si wote)
4.Majigambo mengi na kujisifu,ilihali hawana kitu(wanasahau sifa na utukufu ni wa MUNGU)
5.Wengi ni walevi(wanywa pombe) na hawako serious katika imani.
SAYUNI MPENZI,WWE UNATOKEA WAPI?
NA UPO KUNDI GANI?

------

Wewe si Mchagga, na huwajui Wachagga....Ulichokiandika ni uzushi, na vya kufikirika...Kwa taarifa yako wanawake wa Kichagga wanaongoza kwa kupendwa hapa Tz.....Wewe kyasaka endelea kuwa na ndoto mgando....////
 
Na tukikwambia umwoe mhaya utatusikiliza? Oa mke wako km unataka aman ktk maisha yako, sio unaoa mke wa familia au wa wana JF. Mwanao unatakiwa kuwa na msimamo wako ktk maisa.
 
------

Wewe si Mchagga, na huwajui Wachagga....Ulichokiandika ni uzushi, na vya kufikirika...Kwa taarifa yako wanawake wa Kichagga wanaongoza kwa kupendwa hapa Tz.....Wewe kyasaka endelea kuwa na ndoto mgando....////

Loh,aisee!ni kweli nawajua "wachaga" na siyo "wachagga"
Pia hakuna ndoto mgando hasa ukizngatia mantiki
halisi ya ndoto.
Dhana hii si susuavu kiasi hcho hadi ukutoe ufahamu.
It's simple to prove,fanya utafiti ndyo upate haki ya kusema!
 
kuna watu mna dharau kwa wasukuma humu
mpaka mnakera
 
Hii dhambi ya ukabila,itatutafuna sana watanzania kuliko hata wakenya.sasa ndoa na kabila la mtu wapi na wapi?
 
msukuma na mchaga wapi na wapi, kaka mchaga humuwezi fuata tu ushauri wa wazazi wako, mchaga hana hali ya kujali.
 
Kuoa popote wasikuchanganye oa tu! Kwetu tunasema "kitogwa Ntoji" yaani mapenzi ya muoaji bana na si wengine
 
Kwa nature ya kabila lako mnusuru mchanga wa watu wewe oa std vii ndiyo anayefaa kuwa wife material wa huko kwenu msomi huko usukumani ni noma atatengwa nakijiji labda maisha yenu yawe ya mjini tu bila kwenda mwamashimba,mwang'ing'o,meatu,nasa,maswa,bariadi,kisesa,kwimba,kishapu,maswa n.k hapa kusonga ugali debe mbili unamhusu na mengineyo.
 
Teheeh!teeheeh!karibia nitaanza na wwe ili uamini vgezo nnavyo,then nikishakupata nasepa.
UKWELI UKO HIVI:
Wanawake wengi wa kichaga
1.Wanaabudu pesa kuliko utu(wengi wao ni wanadamu na sio watu)
2.Wengi wana kiburi na sio challenges(fahamu kutofautisha changamoto na kiburi)
3.Si waaminifu na michepuko ndiyo fani yao(japo si wote)
4.Majigambo mengi na kujisifu,ilihali hawana kitu(wanasahau sifa na utukufu ni wa MUNGU)
5.Wengi ni walevi(wanywa pombe) na hawako serious katika imani.
SAYUNI MPENZI,WWE UNATOKEA WAPI?
NA UPO KUNDI GANI?

utaabuduje pesa wakati wa kuabudiwa ni Mungu pili umesema wana kiburi hyo ni hulka ya kila mtu it doesnt matter ni msukuma au mpare au mhaya, wewe ndo utakuwa na michepuko umefanya research wap i need data sio unaongea ki hisia hata wewe unaweza kujisifu vitu vya wa chaga vinaonekana sio kujisifu hata wewe work hard utaonekana na watu watakukubali hapo kwa walevi ni tabia ya mtu mkuu sio wote jamani sometimes lets speak reality not hatred towards a certain tribe nafikiri umenipata sehemu ninayotokea .....
 
------

Wewe si Mchagga, na huwajui Wachagga....Ulichokiandika ni uzushi, na vya kufikirika...Kwa taarifa yako wanawake wa Kichagga wanaongoza kwa kupendwa hapa Tz.....Wewe kyasaka endelea kuwa na ndoto mgando....////

ni kweli mkuu nakubaliana na wewe kabisa
 
Hili si jambo la kuomba ushauri,fanya maamuzi kama mwanaume,unaoa ili kuridhisha ndugu au unaoa ili kujiridhisha wewe? A real man does decide by himself especially in relationships,ukishamuona mwanaume anashindwa kutoa maamuzi katika mahusiano jua hawezi pia kutoa maamuzi juu ya familia yake wala maisha yake
 
msukuma na mchaga wapi na wapi, kaka mchaga humuwezi fuata tu ushauri wa wazazi wako, mchaga hana hali ya kujali.

kuna mzee mmoja wa kigogo amestaafu na ameoa mwanamke wa kichagga. Kwa sasa anangojea kiinua mgongo chake. Sasa maneno anayoongea huyo mke wake wa kichagga juu ya atakachomfanyia mzee wa watu pindi akipata hiyo hela ya kiinua mgongo, hakika unaweza usioe mwanamke wa pande hizo.....mhhhh
 
mama yake amekataaa ataki wachaga ... alafu hiii issue wasukuma wanayo sana kuna dada mwingine namfahamau wazazi wa mwanaume wa kisukumaa wamekataa haddi kutishia kutoa laana

Huenda wanapenda kuona mwanao pia anaishi maisha marefu kama wao waliomzaa
 
Mhhhh makabila haya jamani ukijichanganya tu umekwisha......yana influence sana kwenye marriage life usidanganywe...maana mtu analelewa akisikia na kuona wanayotenda wazazi na ndugu wengine, hayo yanachangia sana. Mnakumbuka yule mwanamke alokuwa anadai apewe hela ili hali mpenzi wake kafiwa na ndugu yake wa damu? Msiniulize alikuwa kabila gani......acha kabisa ukijichanganya kwenye kabila umekwisha!

Usidanganyike 'hasidi haachi asili'
 
Nahisi huyo binti wanaye taka umuoe wazee anavigezo ingawa wazee wamesahau kua tupo ki-digital zaidi siku hizi....usipuuze maoni wanajamvi pia heshimu sana wakuambiacho wazee...

....waheshimu baba na mama upate heri na kuishi miaka mingi duniani ngosha...shauri yako, we haya weeeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom