Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

[MENTION]miss chaga[/MENTION] na mamndenyi[MENTION][/MENTION]
 
kama utakayemuoa ataenda kuishi na wazazi wako nenda kaoe huko kwenu and vice versa z true
 
Oa msukuma mwaya.
Tena wasukuma wa huko kwenu safi kabisa. Mtaelewana vyema na ataelewana na wazazi wako. Mtazungumza kisukuma. Na hautapata laana ya wazazi.
Kumpenda utajifunza tu, mbona wazazi wetu walikuwa wanachaguliwa wenzi wao na ndoa zao zimedumu vizuri tu. Pengine kuliko hizi zetu za kuchaguana wenyewe kwa wenyewe.
Fanya uamuzi sahihi, oa chaguo la mzazi.
 
e kambe newe

--------

Ewe Mkiwoso ndi? Kulolye ichomba ely lyikusua sua yadi....lichowoo wana Wakichaka ko sababu wakundye kitawanon...ndu achalikaa uchake lasima nakushiike mbele, na nalawe kishoian....Wachaka na wana Wakichaka wawarango kwe kyo machomba nyalowoye mita mya inya....////
 
mashami newe washaseta le mwae shafuha lehe mwae
 
jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
Oa wote huyo Msukuma na huyo Mchaga ili uwaridhishe wazazi wako na wewe mwenyewe respectively.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom