Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Soma hapa
Mhhhh makabila haya jamani ukijichanganya tu umekwisha......yana influence sana kwenye marriage life usidanganywe...maana mtu analelewa akisikia na kuona wanayotenda wazazi na ndugu wengine, hayo yanachangia sana. Mnakumbuka yule mwanamke alokuwa anadai apewe hela ili hali mpenzi wake kafiwa na ndugu yake wa damu? Msiniulize alikuwa kabila gani......acha kabisa ukijichanganya kwenye kabila umekwisha!Usidanganyike 'hasidi haachi asili'[/QUOTE ndyoko mpaka hapa nshajua huyo dada aliyeomba hela ni kabila gani.....
Huenda wanapenda kuona mwanao pia anaishi maisha marefu kama wao waliomzaa
Aaah kuna mahali hata methali zenyewe zinakinzanaPengine ni sababu ya methali hii ya 'uchungu wa mwana........'.
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
ha ha ha ukiwa na maana sisi ni wauwaji?
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
unao kwa ajli yako ama kwa ajili ya ndugu zako?Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
Hawajitambui waache ...still wachaga wapo juu sio men or gal..
wachaga wanakwambia una kabati ya mbeo...pikapu ya kubebea majani,au ndo mbesa tilaa meku..stuka usije kuwa baba afa na presha mae...ila ukipata mchaga jua kutafta pesa na lazima uwe na biashara.wapi manka,magdalena,miss chaggajamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
msukuma na mchaga wapi na wapi, kaka mchaga humuwezi fuata tu ushauri wa wazazi wako, mchaga hana hali ya kujali.