Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
-----
Achana na hawa watu pori...Wasukuma ni maarufu kwa kukandamiza wanawake...Rejea mauaji ya vikongwe katika mikoa yao...Kwa kuwa hawawezi kuwakandamiza Wanawake wa Kichagga, ndiyo wanaanza kuandika upu.pu....Wachagga mwendo ule ule....I solute Chagga women for their stand.....NB: Mwanaume kishoia usijaribu kuoa Mchagga
ni kweli wamezoea ukandamizaji wa wanawake sasa wamekuta wanawake wa kichaga hawana masihara wanawaza maendeleo na wanaume wengi hawapendi kuambiwa nawapa hongera kwa msimamo hayo mengine sijui wauaji zimebaki zilipendagwa tu