Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 745
mi nakupinga kwan kwa vile ni mchaga ndo una mshauri hvo kwan mchaga hafai na umejuaje kuwa ata mu control au kwa vile uliona kosa la mmoja ndo ukaona ni wote gros generalization ni false ye kapenda mchaga
Nyie si mnakataa ukabila hapa? Mbona ndio mnayoyafanya sasa hivi!
kaka,
tafadhari tena tafadhari sana oa usukumani nasema oa usukumani. Mapenzi ni upofu na huyo dada nina hakika kishakulevya vya kutosha!wana lugha laini sana wanapotafuta ndoa na ukiwa ktk ndoa lazima uwechin yake upende usipende!Ni watafutaji wa mali na kimapenzi sio wazuri.NA ANAYEPINGA NA ASEME!!!
swali la pili
mtoa mada unaoa wewe au ndugu zako?
Ya wazi Mkuu c unajua chama chetu
Swali la tatu
Wewe ni std ngapi?
Utawaacha babako na mamako utaambatana na mkeo.
----
Sawa mkuu, lakini kwa nini usingemshauri Mkuu wa Kaya akamteua hasimu wako Prof. Shivji akawa Mjumbe wa Bunge la Katiba?
oa msuTAKO kama msukuma hujapata na wachaga hutaki
Nilimshauri aniteue mm Mkuu pole kama una maslahi na shivji!
-------
Kwani wewe hutaki mawazo ya Shivji? Au kwa kuwa aliziponda hoja zko pale Theatre, UDSM?
na iyo mbe kanyi
usukumani kwenu hawajaendeleajamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?