Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

kaka,
tafadhari tena tafadhari sana oa usukumani nasema oa usukumani. Mapenzi ni upofu na huyo dada nina hakika kishakulevya vya kutosha!wana lugha laini sana wanapotafuta ndoa na ukiwa ktk ndoa lazima uwechin yake upende usipende!Ni watafutaji wa mali na kimapenzi sio wazuri.NA ANAYEPINGA NA ASEME!!!
 
kaka,
tafadhari tena tafadhari sana oa usukumani nasema oa usukumani. Mapenzi ni upofu na huyo dada nina hakika kishakulevya vya kutosha!wana lugha laini sana wanapotafuta ndoa na ukiwa ktk ndoa lazima uwechin yake upende usipende!Ni watafutaji wa mali na kimapenzi sio wazuri.NA ANAYEPINGA NA ASEME!!!

mi nakupinga kwan kwa vile ni mchaga ndo una mshauri hvo kwan mchaga hafai na umejuaje kuwa ata mu control au kwa vile uliona kosa la mmoja ndo ukaona ni wote gros generalization ni false ye kapenda mchaga
 
--------

Ewe Mkiwoso ndi? Kulolye ichomba ely lyikusua sua yadi....lichowoo wana Wakichaka ko sababu wakundye kitawanon...ndu achalikaa uchake lasima nakushiike mbele, na nalawe kishoian....Wachaka na wana Wakichaka wawarango kwe kyo machomba nyalowoye mita mya inya....////

Nyie si mnakataa ukabila hapa? Mbona ndio mnayoyafanya sasa hivi!
 
We ni msoami...usiruhusu perseption za watu zikuongoze...hapo ndo pakuonesha utofauti na faida za elimu...au sio mkaka..
 
Nahisi huyo binti wanaye taka umuoe wazee anavigezo ingawa wazee wamesahau kua tupo ki-digital zaidi siku hizi....usipuuze maoni wanajamvi pia heshimu sana wakuambiacho wazee...
 
Nawafahamu watu waliooa makabila yao leo hawako wote,wapo waliooa makabila tofauti lkn ndoa zao
ziko vizuri na kinyume chake(and viceversa).
naamini mke ni mke awe wa kabila lako au jingine,kitu muhimu ni wewe muoaji umkubali,then mengine yanafuata
kuwasikiliza wazazi ni muhimu lkn nao wanapaswa kujitambua.kama ni wakristo wakumbushe kuwa mali nyumba na mashamba mtu hupewa na baba yake bali mke mwema mwenye hekima mtu hupewa na Bwana.
 
Hujamwona wa kumwoa....ukishabahatika kumtia machoni,utajiloga kwani hutasikia la mzazi, muadhini wala mchota maji msikitini. Chezea binti anayeriwadha roho yako weye!
 
ISIKIE SAUTI HII YA MTU ALIYE NYIKANI
"OA KWINGINEKO,USITHUBUTU KUOA MCHAGA"
HAKIKA UTAJUTA MAISHANI
"usioe mchaga"!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom