Huu ni uonevu au njaa

KEMWERU

Member
Jun 28, 2022
12
48
Wakati nipo kibaruani maeneo flani ya Tazara jijini Dar es salaam pale kazini kwetu kuna wafanyakazi wanakujaga kufanya kazi kama vibarua kulingana na uwepo wa kazi. Mara nyingi kazi zikiwepo wanaweza fululiza hata miezi miwili au mitatu wakifanya kazi kama kazi hamna inaweza pita hata miezi sita hawajaja

Mimi ni kijana bado sijaweka jiko nyumbani katika pitapita mle ndani mara nikakutana na mlembo akiwa anafanya kazi kwa kuwa ulikuwa muda wa kazi nilimsalimia tu akiitika kwa mbali kutokana na ugeni wa mazingira yale mara nafsi ikaniambia jiko ndo hili sasa nakapita zangu nikamwacha aendelee na kazi

Ilipofika muda wa canteen yuie mdada nikamkuta akipata chakula nikamsogelea na kujitambulisha na yeye akajitambulisha kuwa ni mwenyeji wa mkoa wa Mwanza eneo ukerewe kaja mjini kutafuta maisha kwa kuwa mda ulikuwa umeisha tulirudi kuendelea na kazi huku tayali nikiwa nmepewa namba ya simu

Bahati mbaya siku hiyo mida ya saa moja yule binti aliumia kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali mguuni ikabidi apewe ruhusa aende hospital na arudi nyumbani so kesho yake nikampigia kumjulia hari baada ya siku tatu nikampigia akaniambia sahiv anaendelea vizuri akanihuliza kama nipo kazini nikajibu ndiyo akasema ukitoka saa nane shuka hapa devis corner tuonane
Nilipotoka job saa nane nikapanda daradara za Buza nikashuka devis corner nikakaa kwa muda wa nusu saa mara simu ikaita yule binti akanambia hupo wapi nikajibu devis corner akasema shuka hadi relini kuna duka la madawa nmesimama pembeni nikatelemka mara yule binti nikamkuta tukasalimiana tukaongea kama dakika kumi tumesimama mara yule binti akasema tusogee pembeni tukae tuendelee kuongea tukafanya vile tumekaa tunaongea kwa muda wa saa moja ghafla kuangalia pembeni tunaona kundi la polisi linakuja likiwa na wahuni zaidi ya kumi wamefungwa pingu kufika pale tukaambiwa mnafanya nini hapa tukasema tunaongea tu wakamwuliza binti wew nani yako huyu binti akajibu mchumba wangu yule polisi akasema yaani mnafanya mapenzi barabarani mchana kweupe(tasifida) simama juu nikasimama ghafia nikapigwa pingu nikafungwa na lihuni flani linatisha yule binti akakbidhiwa polisi mwanamke mara safari ikaanza polisi Tandika
Wakati tukiendelea na safari nikasikia nyuma polisi mwanamke akimwuliza binti yule ndo shemeji binti akajibu ndiyo polisi akaendelea nyie hamna kosa sema tukiwaachia hawa wengine watasema upendeleo so twendeni tu kituoni kufika Polisi tandika nikaambiwa niolozeshe nlivyonavyo mfukoni nlivyomaliza nikaambiwa vua viatu na mkanda nikafunguliwa nondo mwa mara ya kwanza nikaingia lock up na yule binti akaingia lock up ya upande wa pili zimetazamana namuangalia binti naona ananiangalia kwa hasira

Tumekaa tangu tisa na nusu mchana hadi saa moja na nusu jioni wale wahuni mle lockup wakaniambia mwanatu hawa wanataka pesa kama una pesa wape hili huyo mchumba arudi nyumbani kama hauna ikifika saa nne difender linapita ngoma chang'ombe polisi angalizo usiwaambie kwenye simu kama una pesa nyingi ukiwaambia watataka yote ghafla akaja afande anaitwa fetty akanambia huna chochote umnusuru mchumba huyo nikasema kipo akajibu bei gani nikasema 30 akasema ongeza 20 nikasema sawa mara lango likafunguliwa nikavaa viatu nikapewa ulinzi hadi kwa wakala nikatoa pesa nikawapa wakaingia ndani nikasikia wakigombania huyu akimwambia mwenzake ulitaka watoe 30 me ndo nmesema 50

Mara wakamfungulia yule binti nikawa natoka nae mara yule afande fetty nikasikia akisema kamuoe siyo unam*** bure fala wew tukatoka na yule binti kwa kuwa mitaa ya tandika haijul akanambia nipeleke hadi devis corner hapo yapata saa mbili na nusu usiku wakati nmempeleka tumefika mitaa ya devis corner tunaagana tu nimesimama naangalia simu nasikia navutwa shati nageuka naambiwa nimekutafuta mda kumbe wew ulikuwa wapi na mke wangu ????? Nakwidwa !!!!
 
Kama wimbo wa Remi Ongala
 
Kiliendelea kitu gani mkuu?hujamalizia!
 
Back
Top Bottom