Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

Unamchongea kiumbe mwenzio

Mkuu Jogi ni kweli,Masudi ni muoga kupita maelezo...

Hajawahi kua shujaa of anything...

Ana platform kubwa ya walao kubadili kitu ila jamaa kajificha mnooo

Unashangaa mtu kama yeye anakimbia akina wanjiko kama sisi sijui tuende wapi sasa!
 
Kipanya mnafiki sana..

Hadi kwenye breakfast hua akifika mahali pa serikali anaruka hatoi hata maoni....such a woman!

Gado yupo Kenya anawapandia Wakenya huko huko bila kuogopa,na Kenya walivyo wauaji the guy cruises!

Jamaa ameshatekwa na itikadi za kisiasa matokeo yake ameshindwa ku balance sanaa yake.ukimsikiliza kwenye power breakfst,ndio unajua ni wa mlengo gani.
 
Jamaa ameshatekwa na itikadi za kisiasa matokeo yake ameshindwa ku balance sanaa yake.ukimsikiliza kwenye power breakfst,ndio unajua ni wa mlengo gani.

Jamaa hapendi risk kabisa....

Namsikiliza sana yaani...

Na hata walipovamiwa na Bashite jamaa alikaa kimya yaani haikumuuma kabisa kuona ule uonevu ulivyotokea..

Alikua anaongea kwa kujistukia stukia kukwepa direct msimamo...

The guy will always work other men with balls...

Masudi kwa jinsi alivyo talented asingetakiwa a-work for anybody!Angetakiwa kua keshakua mkubwa zaidi hata ya Clouds wenyewe!

Ila ndio hivyo,the dude is so fu.cken passive!

Anaanzisha vitu vinakufa,anaishia kujikomba komba kwa serikali,nk....

Such a woman!
 
Anaonekana ni mtu mwenye chuki sana na nchi yake, maana hakuna jema ambalo kaliwakilisha kupitia kazi zake.

Utaona kupitia kazi zake namna alivyoiwasilisha awamu ya 4 na hata ya sasa.
 
Ok,Gado yupo shirika kani?
Gado anachorea katuni za makala gazeti la The EastAfrican Standard Nairobi. Anapendelea katuni za siasa/Makala kuangazia afrika mashariki na kati. Kazi zake pia zimewahi kuchapishwa na Daily Nation (Kenya), Le Monde and Courrier International (France), Deutsche Welle (Germany), The Guardian ya London
Pia ni Mwenyekiti Mtendaji Buni Media, based in Nairobi. Mchezesha Vikaragosi kutoka shule ya filamu Vancouver Film , Gado is a na Mbunifu/Mtengenezaji wa Vikaragosi vya The XYZ SHOW.
 
Kipanya mnafiki sana..

Hadi kwenye breakfast hua akifika mahali pa serikali anaruka hatoi hata maoni....such a woman!

Gado yupo Kenya anawapandia Wakenya huko huko bila kuogopa,na Kenya walivyo wauaji the guy cruises!
Wewe unaweza kumchamba Jiwe?au vile upo humu kujificha?Mazingira tuliyonayo sio yakumlaumu MTU nakumuona mdhaifu .Hali ni mbaya sana kila mmoja anafanya kwa tahadhari
 
Wewe unaweza kumchamba Jiwe?au vile upo humu kujificha?Mazingira tuliyonayo sio yakumlaumu MTU nakumuona mdhaifu .Hali ni mbaya sana kila mmoja anafanya kwa tahadhari
Tangu alivyoenda ziara ya kuwatembelea wasiojulikana amekuwa mpole sana Arif. Jamaa huwa wanampigia simu kuwa tunaona katuni zako means "We are watching you!"
 
Wewe unaweza kumchamba Jiwe?au vile upo humu kujificha?

Sio kumchamba kama tupo uswahilini mzee...

Ushaona Generali Ulimwengu anavyotoa hoja za kupinga vitu?

Hii sio match ya kutukanana,ni hoja smart bandika bandua!

Ndio tunavyotaka....sio mambo ya kutukanana....

Jiwe ni kumpa hoja smartly,akikufuata kosa litakua kwake sio kwako!

Mazingira tuliyonayo sio yakumlaumu MTU nakumuona mdhaifu .Hali ni mbaya sana kila mmoja anafanya kwa tahadhari

Mkuu Masudi ana platform,anatakiwa akiona uonevu mahali auseme bila kificho...

Masudi sio some token small guy like me and you,ni mtu anaejulikana na jamii nzima,huwezi muonea kifala fala tu,jamii will react back!

Kwahiyo anainjoi public protection kutoka kwetu,inatakiwa akemee uonevu kwa wazi!

Namlaumu sababu ana platform kubwa zaidi hata ya JF tuliyonayo sisi wanyonge,anaweza effect kwa ukubwa zaidi kukemea maonevu...Hiyo ndio shida!

Jiwe anatafuta ulipokosea ndio anakufata,ila kama ni clean punches hana pakukushika,labda afanye tena abductions ambapo atapokea public cry ambayo anaiogopa kama ukoma!
 
masoud kipanya akipata uhuru wa kuchora na kutoa maoni yake gado atasubiri sana.
Hakuna Ubishi kwa hilo...wote ni wachoraji wazuri tofauti zao ni Style za uchoraji... Masoud anachora katuni za kufikirisha, ila Gado anahit straight to the point
 
masoud kipanya akipata uhuru wa kuchora na kutoa maoni yake gado atasubiri sana.

Mkuu

Gado kaenda shule ya hii kitu kapata hadi degree...Masudi ni mwehu tuu!

Gado kiingereza ni 100%...check katuni zake nadhani zilishaenda hadi New York Times,kitu kama hicho!

Mchizi ni mikosi.....

Masudi mkuu ni way below him,it is even not fair comparison!
 
Mkuu upo real au unanipa sarcasm maana hua ukisikia TZ unaua tu!

Hahahahaaaaa

Huyo jamaa yaani hata Wakenya wachache wanajua ni Mtanzania, kuna siku gazeti ilikua nikinunua nafungua ukurasa wa katuni zake ndio baadaye nisome mengine. Afu mchokozi sana, anaachokonoa kote kote hebu ona hii picha hapa

0fgjhs22l50t69cb2.11098027.jpg
 
Back
Top Bottom