Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,817
- 218,483
Gari iliyombeba imetajwa kufahamika kwa namba za usajili za T 363 CDU
Kwani inawezekana isiwe vyombo vya usalama?Tuwe na imani endapo ni hakika ni vyombo vya usalama atakuwa mikono salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuriKwani inawezekana isiwe vyombo vya usalama?
nenda polisi katoe huo ushahidi kuwa uliiona hiyo gari imembeba nenda kwa Afande Mambosasa na huyo kilewo wako na ushahidi kuwa alishikiliwa na polisi kilimanjaro na kuwa alisafirishwa kwenda dar es salaam kwa gari mliyotaja nendeni
Mwezi Mtukufu halafu unalewa mchana !Nenda polisi katoe huo ushahidi kuwa uliiona hiyo gari imembeba nenda kwa mambosasa na huyo kilewo wako na ushahidi kuwa alishikiliwa na polisi kilimanjaro na kuwa alisafirishwa kwenda dar es salaam kwa gari mliyotaja nendeni
Chadema watu wakipotea huwa cha kwanza kuripoti kabla ya ndugu kulikoni?
ndugu hawajaripoti ndugu yao kupotea chadema wamesharipoti
polisi kamateni kileo na hao wote wanaopita pita vituo vya polisi waeleze huyo wanayemtafuta aliko kwa kuwa hakuna ndugu aliyeripoti kupotelewa.Washikeni haraka wasaidie kumtafuta mchome alipo waeleze yuko wapi? shikeni chap chap
nenda wewe kamtafute vituo vyote vya polisi na jeshi unayesema kapotea wakati hakuna ndugu aliyeripoti kapotea! ueleze vizuri ulikomuweka Mchome hadi ukamripoti kapotea wakati ndugu hiyo habari ya kupotea hawanaMwezi Mtukufu halafu unalewa mchana !
Laana tullah !